swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Nimekuwa nikichanganyikiwa na kushindwa kuwaelewa viongozi na wabunge kitu kinachoonesha kuwa muungano una tatizo hata kutaja tu muungano wenyewe mfano:
-Wengine wanasema Tanzania bara na zanzibar
-Tanzania bara na Tanzania visiwani
Nchi ya Tanzania bara ndo nchi gani? Huu muungano ni wa nchi mbili mbina inatajwa zanzibar tu hiyo ya bara ni ipi?
-Wengine wanasema Tanzania bara na zanzibar
-Tanzania bara na Tanzania visiwani
Nchi ya Tanzania bara ndo nchi gani? Huu muungano ni wa nchi mbili mbina inatajwa zanzibar tu hiyo ya bara ni ipi?