picha? Picha ya nini? Umecremisha?Weka picha tuone;
swali gumu. subiri majibu rahisi. hata vyombo vya habari vinataja jina hilohilo utadhani wamiliki wamepewa vimemo na magamba.
Utakuwa bado una matongotongo usoni. Kanawe kwanza ndipo utajua maana ya Tanzania BaraNimeuliza hivyo kwakuwa nakumbuka nilipokuwa nasoma na hata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatamka nchi iitwayo Tanganyika ndiyo iliyoungana na Zanzibar kuwa Tanzania.
Sasa hii Tanzania bara tunaitoa wapi? Nauliza hivi kwakuwa hata wasomi wetu nao utawasikia wakisema Tanzania bara na hata rais wetu Kikwete leo kwenye maadhimisho katamka hivyohivyo. Sasa hamuoni historia na uhalisia tu kuwa mnaviharibu?
Baraza la mitihani (NECTA) mfano likatunga swali lisemalo; Jaza sehemu iliyoachwa wazi kwenye sentensi hii- 9/12/1961 ni siku ya uhuru wa nchi ya_________( Akajaza Tanzania Bara) atakuwa kapata ama kakosea? Vinginevyo mnatuchanganya na kuchanganya watoto wetu.
Mnamdanganya na kumfariji nani kwa kutaja Tanzania bara badala ya Tanganyika?
Mkuu, hivi Zanzibar ni kitu gani? Maana mie najua kuna Unguja na Pemba. Hili la Zenji limetoka wapi?Linchi kwa maigizo hili sijapata kuona! Labda wanataka kuanzisha nchi mpya kumpiku South Sudan.
kinachowafanya washindwe kutamka Tanganyika ni kule kuona kwamba Watanganyika halisi ni watu wa kigoma lililoko ziwa TanganyikaNimeuliza hivyo kwakuwa nakumbuka nilipokuwa nasoma na hata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatamka nchi iitwayo Tanganyika ndiyo iliyoungana na Zanzibar kuwa Tanzania.
Sasa hii Tanzania bara tunaitoa wapi? Nauliza hivi kwakuwa hata wasomi wetu nao utawasikia wakisema Tanzania bara na hata rais wetu Kikwete leo kwenye maadhimisho katamka hivyohivyo. Sasa hamuoni historia na uhalisia tu kuwa mnaviharibu?
Baraza la mitihani (NECTA) mfano likatunga swali lisemalo; Jaza sehemu iliyoachwa wazi kwenye sentensi hii- 9/12/1961 ni siku ya uhuru wa nchi ya_________( Akajaza Tanzania Bara) atakuwa kapata ama kakosea? Vinginevyo mnatuchanganya na kuchanganya watoto wetu.
Mnamdanganya na kumfariji nani kwa kutaja Tanzania bara badala ya Tanganyika?
Mkuu, hivi Zanzibar ni kitu gani? Maana mie najua kuna Unguja na Pemba. Hili la Zenji limetoka wapi?
Unadhani kwa nini bongo wanafeli?
Maswali yao yana utata sana, Hapo mtu akijibu Tanzania bara mpe tu
Nakumbuka lilikuja swali mock miaka hiyo
"Describe the problems associated with road accidents in Tz"
asilimia zaidi ya 80 wakajibu -poor road outlook, - carelessness of drivers ... etc
asilimia kama iliyobaki wakajibu - death - destruction to infrastructure etc...
Hapa hata mwenye marking scheme alikua kachemka... bongo bongo