Tanzania bara ndo nchi gani?

Kilalo

Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
65
Points
0

Kilalo

Member
Joined Apr 29, 2013
65 0
Nimeuliza hivyo kwakuwa nakumbuka nilipokuwa nasoma na hata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatamka nchi iitwayo Tanganyika ndiyo iliyoungana na Zanzibar kuwa Tanzania.
Sasa hii Tanzania bara tunaitoa wapi? Nauliza hivi kwakuwa hata wasomi wetu nao utawasikia wakisema Tanzania bara na hata rais wetu Kikwete leo kwenye maadhimisho katamka hivyohivyo. Sasa hamuoni historia na uhalisia tu kuwa mnaviharibu?

Baraza la mitihani (NECTA) mfano likatunga swali lisemalo; Jaza sehemu iliyoachwa wazi kwenye sentensi hii- 9/12/1961 ni siku ya uhuru wa nchi ya_________( Akajaza Tanzania Bara) atakuwa kapata ama kakosea? Vinginevyo mnatuchanganya na kuchanganya watoto wetu.
Mnamdanganya na kumfariji nani kwa kutaja Tanzania bara badala ya Tanganyika?
 
NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Messages
3,471
Points
2,000

NullPointer

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2011
3,471 2,000
Unadhani kwa nini bongo wanafeli?
Maswali yao yana utata sana, Hapo mtu akijibu Tanzania bara mpe tu
Nakumbuka lilikuja swali mock miaka hiyo
"Describe the problems associated with road accidents in Tz"
asilimia zaidi ya 80 wakajibu -poor road outlook, - carelessness of drivers ... etc
asilimia kama iliyobaki wakajibu - death - destruction to infrastructure etc...
Hapa hata mwenye marking scheme alikua kachemka... bongo bongo
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,854
Points
2,000

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,854 2,000
Nimeuliza hivyo kwakuwa nakumbuka nilipokuwa nasoma na hata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatamka nchi iitwayo Tanganyika ndiyo iliyoungana na Zanzibar kuwa Tanzania.
Sasa hii Tanzania bara tunaitoa wapi? Nauliza hivi kwakuwa hata wasomi wetu nao utawasikia wakisema Tanzania bara na hata rais wetu Kikwete leo kwenye maadhimisho katamka hivyohivyo. Sasa hamuoni historia na uhalisia tu kuwa mnaviharibu?

Baraza la mitihani (NECTA) mfano likatunga swali lisemalo; Jaza sehemu iliyoachwa wazi kwenye sentensi hii- 9/12/1961 ni siku ya uhuru wa nchi ya_________( Akajaza Tanzania Bara) atakuwa kapata ama kakosea? Vinginevyo mnatuchanganya na kuchanganya watoto wetu.
Mnamdanganya na kumfariji nani kwa kutaja Tanzania bara badala ya Tanganyika?
Utakuwa bado una matongotongo usoni. Kanawe kwanza ndipo utajua maana ya Tanzania Bara
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
12,691
Points
2,000

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
12,691 2,000
Madhali nimesikia matamshi mengi ya kimakosa,mfano Mkoa wa Bukoba badala ya Kagera,ama dhana kwamba Moshi ina jina kubwa kuliko mkoa wa Kilimanjaro sishangai hili...Matejoo wa Ngarenaro nao wanakwambia Ngarenaro ni kubwa kuliko Arusha!
 
gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
6,677
Points
2,000

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2013
6,677 2,000
Nimeuliza hivyo kwakuwa nakumbuka nilipokuwa nasoma na hata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatamka nchi iitwayo Tanganyika ndiyo iliyoungana na Zanzibar kuwa Tanzania.
Sasa hii Tanzania bara tunaitoa wapi? Nauliza hivi kwakuwa hata wasomi wetu nao utawasikia wakisema Tanzania bara na hata rais wetu Kikwete leo kwenye maadhimisho katamka hivyohivyo. Sasa hamuoni historia na uhalisia tu kuwa mnaviharibu?

Baraza la mitihani (NECTA) mfano likatunga swali lisemalo; Jaza sehemu iliyoachwa wazi kwenye sentensi hii- 9/12/1961 ni siku ya uhuru wa nchi ya_________( Akajaza Tanzania Bara) atakuwa kapata ama kakosea? Vinginevyo mnatuchanganya na kuchanganya watoto wetu.
Mnamdanganya na kumfariji nani kwa kutaja Tanzania bara badala ya Tanganyika?
kinachowafanya washindwe kutamka Tanganyika ni kule kuona kwamba Watanganyika halisi ni watu wa kigoma lililoko ziwa Tanganyika
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
4,689
Points
2,000

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
4,689 2,000
Mkuu, hivi Zanzibar ni kitu gani? Maana mie najua kuna Unguja na Pemba. Hili la Zenji limetoka wapi?

Kwani COMORO imetokea wapi wakati ni kuna visiwa tu vy a Ngazija,Anjuan na mayote? Kama unafuatilia nchi nyingi duniani ambazo ni visiwa hautashangaa hili la zanzibar.Ni hivyo hivyo kwa visiwa vya Cape verde and many other Archipelagos all over the world.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
10,654
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
10,654 2,000
Unadhani kwa nini bongo wanafeli?
Maswali yao yana utata sana, Hapo mtu akijibu Tanzania bara mpe tu
Nakumbuka lilikuja swali mock miaka hiyo
"Describe the problems associated with road accidents in Tz"
asilimia zaidi ya 80 wakajibu -poor road outlook, - carelessness of drivers ... etc
asilimia kama iliyobaki wakajibu - death - destruction to infrastructure etc...
Hapa hata mwenye marking scheme alikua kachemka... bongo bongo
Hapo ni sawa tu kumpa marks km ni Mwl mwenye uerevu kwani kiakili huyo Mwanafunzi yupo sahihi

Ni sawa na kujibu Issa na Yesu ndio sawa na Tanganyika na Tanzania bara
 
Forum statistics

Threads 1,392,167
Members 528,552
Posts 34,100,446
Top