Tanzania bado tunahali ngumu sana

Tanzania bado tunahali ngumu sana

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Kumekuwa na takwimu za vichocholoni hizo takwimu hazina uhalisia wowote tusijipe matumaini kwa mambo ambayo hayapo
♧ Deni la taifa lipo juu na linazidi kukua kila siku kutoka asilimia 28 hadi 40 kwa miaka minne tu
♧ pamoja kuwa na rasilimali nyingi lakn bado tunategemea misaada kutoka nje.
♧Rushwa bado ni tatizo kubwa sana tz kwenye tax management , usimamizi wa pesa za mikopo ni duni
♧ umasikini bado ni jang kubwa pia hakuna ahueni ni asilimia 2/3 tu ya watz wanaishi chini ya umasikini wa kupindukia
♧Miundo mbinu mibovu sana hasa barabara kwamfano barabara y mwanza to musoma ni mbovu kila siku ni ujenzi

WATZ TUNAKAZI KUBWA VIZAZI VYETU TUOMBE VISIWE KAMA HIVIRASILIMALI ZIPO ILA HATUFAIDIKI NAZO
 
Afrika Kila Kona ni matatizo tu.hakuna eneo liliotulia.sio mashariki,sio magahribi,sio kusini sio kaskazini Wala kati
Matatizo tu
 
Back
Top Bottom