mnyevushaji
Member
- Oct 4, 2011
- 24
- 1
Ni bora tukawa tunawasaidia wadogo/ndugu zetu katika kufanya tafiti za vyuo.Watoto waliotoka shuleni hawawezi kuelewa vizuri mambo haya.Ni bora mzazi au mlezi ukafanya utafiti wa kina juu ya chuo kabla ya kumpeleka mwanao na hasa kwenye kozi zinazohusiana na mambo ya anga ambazo ki msingi si kozi za kuvamia.Kwanza mamlaka ya juu kabisa inayoshungulika na kozi mbalimbali za huduma za ndege ni Intenational Air Transport Association (IATA).Hawa jamaa makao yao makuu yako Montreal Canada.Hawa jamaa ndio taasisi ya juu kabisa inayotoa mafunzo ya huduma za ndege kupitia idara yake ya Centre for training and Development.Kwa kawaida taasisi hii ina tabia ya kufanya kazi kwa ushirikiano na vyuo vingine kote duniani.Chuo tajwa hapo juu kinadai kushirikiana na taasisi hii miongoni mwa zingine.Sasa cha kushangaza ni kwamba hawa IATA wenyewe hawana degree programme lakini hawa jamaa wa Tabata , wao ni university kabisa (natumai mnajua maana ya university).Hapo kazi ipo.Wadau msaada mdogo wangu katapeliwa na chuo feki cha anga ambacho hakina usajili lakini mamlaka husika TCAA ikishindwa kumwajibisha jamaa mwenye chuo,plz nendeni crdb bank tabata mkajionee nanma utapeli unavyofanyika kwani watoto wa masikini wanatozwa dola elfu moja hadi elfu tatu huku vyeti wanavyopatiwa havitambuliwi na mamlaka yeyote hapa tz,jamani aibu
Ni bora tukawa tunawasaidia wadogo/ndugu zetu katika kufanya tafiti za vyuo.Watoto waliotoka shuleni hawawezi kuelewa vizuri mambo haya.Ni bora mzazi au mlezi ukafanya utafiti wa kina juu ya chuo kabla ya kumpeleka mwanao na hasa kwenye kozi zinazohusiana na mambo ya anga ambazo ki msingi si kozi za kuvamia.Kwanza mamlaka ya juu kabisa inayoshungulika na kozi mbalimbali za huduma za ndege ni Intenational Air Transport Association (IATA).Hawa jamaa makao yao makuu yako Montreal Canada.Hawa jamaa ndio taasisi ya juu kabisa inayotoa mafunzo ya huduma za ndege kupitia idara yake ya Centre for training and Development.Kwa kawaida taasisi hii ina tabia ya kufanya kazi kwa ushirikiano na vyuo vingine kote duniani.Chuo tajwa hapo juu kinadai kushirikiana na taasisi hii miongoni mwa zingine.Sasa cha kushangaza ni kwamba hawa IATA wenyewe hawana degree programme lakini hawa jamaa wa Tabata , wao ni university kabisa (natumai mnajua maana ya university).Hapo kazi ipo.

Wadau msaada mdogo wangu katapeliwa na chuo feki cha anga cha tapeli Chalanga kipo tabata magengeni ambacho hakina usajili lakini mamlaka husika TCAA ikishindwa kumwajibisha jamaa mwenye chuo.
Nendeni CRDB Bank, Tabata mkajionee nanma utapeli unavyofanyika kwani watoto wa masikini wanatozwa dola elfu moja hadi elfu tatu huku vyeti wanavyopatiwa havitambuliwi na mamlaka yeyote hapa Tz, jamani aibu.