Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

'Personal Data Protection Act'... Hawa jamaa sijui wanataka kulinda taarifa za nani hasa.. Na kwa nini wako 'desperate' kuzilinda.. Au ndiyo mambo ya 'The Animal Farm by George Orwell' na visa vya Nguruwe (Napoleon) yana anza..?
 
The Chinese government had completely blocked all US internet applications such as Google, YouTube and Facebook from being accessed by its people and has alternatively introduced more relevant and user friendly ‘apps’ among Chinese people which include, WeChat, Youku and Tencent QQ, among others.
tehteh!
 
Itakua safi sana,nazani uharifu nchini utapungua kwakua tutakua na matumizi bora ya mtandao kimaendeleo zaidi
 
Chinese eating us wit..ta and our share, f. mba la mah, stick. Can we talk about the bo
 
I regard it as the best ever

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
We are deadly in need of it

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
So it is in accordance of international communication union to block all US based sites and applications as Google,youtube,or facebook? Msiige tu kila kitu bila kuelewa maudhui yake! Rafiki wa adui yako si lazima awe adui yako!
ndiko tunakoenda siyo, block war dah tufwile
 
Hivi huyu Ngonyani anadhani atakuwa waziri hadi lini ?

What goes around comes around .
Anaenda kutunga sheria ambayo aliondoka madarakani itamminya pia aanze kulia lia kama wanavyolia mawaziri wengine ambao wakati wako madarakani na ndani ya ccm walishiriki kutunga na kupitisha sheria kandamizi ambazo sasa hivi zinawatafuna kwakuwa hawako madarakani na wako upinzani.
Tatizo mtu aliwa madarakani anasahau kama kuna kesho
 
Sie Wahandisi tunatambua kwamba Ugunduzi wa Mtu mmoja hauwezi kukufanya au haukuzuii pia wewe kugundua au kuongezea jambo jipya! Nasi tutagundua njia nyingine ya Kuwasiliana tena huru na Haki!
 
Mungu bado unawavumilia mafirauni haya yanatesa watu wako.

Wanafikiri wao wataishi milele ktk hii dunia?!

Ibilisi anajiachiaje hivi wakati ww upo?
 
Kuna tetesi kuwa nchi kinadharia ipo kwenye mfumo wa vyama vingi, kivitendo ipo mfumo wa chama kioja. Watawala wanatunga sheria kufanikisha utawala, wananchi kupitia wabunge wao wanawajibu kutunga sheria kuibana serikali kutimiza wajibu wake kwa wananchi. Tukisha wachagua wanaungana na serikali. Hapo tunakutana na ni simulizi la 'the animal farm'.
 
Huu mpango wao ovu wa kuminya haki ya uhuru wa kujieleza hautafanikiwa.

They are virtually building a Babel tower which will ultimately collapse and fall apart!
sasa kama unaeleza kitu kilicho sahihi...unaogopaje sheria hii. Tuache majungu....!
 
Watu wa maelekezo kutoka juu wanapenda kusikia habari nzuri nzuri tu! Tanzania sasa yajenga viwanda kila kijiji,na pia ipo mbioni kufungua mtambo wa kuchakatua makinikia huko Geita!
 
Back
Top Bottom