Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

So it is in accordance of international communication union to block all US based sites and applications as Google,youtube,or facebook? Msiige tu kila kitu bila kuelewa maudhui yake! Rafiki wa adui yako si lazima awe adui yako!

Wapi wamesema wanataka kufanya hayo uliyoandika!?
Jisikitikie kwa udaku... soma tena uelewe au jipige vibao vya usoni.. ha ha haaa
 
Muda siyo mrefu tutanyongwa

JPM KAMATA WEZI
 
Huyu naye ni engineer mzima na kasoma kabisa.
Hawa wazee sijui wana matatizo gani kichwani, wanapenda sana kufeel powerful. Bila aibu anasema ni act ambayo inafaa kuigwa na nchi zote, hehehe wtf. Bila aibu anasema wazi itaruhusu law enforcers kudukua mawasiliano ya mtu. Yaani walivyoambiwa waje na sheria mpya ya mitandao kufix matatizo yaliyopo kwenye hii ya sasa hivi ndiyo wamekaa wamefikiria kuja na huu upuuzi, huu ni mbaya kuliko hata hali ya sasa hivi.

Wabongo mjiandae, hiyo nchi ya viwanda mtaiona jamaa akitoka 2020. Na wazee wake wote kama huyu ambao wanahisi nchi ni familia moja inayotakiwa kua controlled wanavyotaka.
CCM ni laana tupu
 
Matembezi ya kuunga mkono azimio la Arusha ni lini?
maana naona tukipiga hatua tano mbele tunarudi hatua sita nyuma!!
 
Hatimae wale malaika wa kuzima mitandao wamepatikana .
 
Mr Ren said that China had also been working in improving the environment for internet and new media operators by setting agenda, introducing user friendly apps and ensure that they don’t misuse their freedom of communicating.

“Security of online communication is a challenge given the new media’s greater power of information dissemination but governments have a role of regulating the online opinion,” he said.

Mr Ren also noted that his government had ensured that new media users in China were playing a role in creating peace and harmony by spearheading the role of revitalizing China which is the main focus of their government.

“Government has the role of encouraging positive discussions among the users of new media and respond to the concerns of people to win their hearts,” he said.

Mr Ren noted that the Chinese government was committed to further improve the bilateral ties to emulate the dreams of the Tanzania’s Founder, the Late Mwalimu Julius Nyerere and his Chinese counterpart, Mao Ze Dong.

The Chinese government had completely blocked all US internet applications such as Google, YouTube and Facebook from being accessed by its people and has alternatively introduced more relevant and user friendly ‘apps’ among Chinese people which include, WeChat, Youku and Tencent QQ, among others.

Uongo wanaojidanganya viongozi wa China ndio wanataka kuuleta hapa, eti wachina wanasifia nchi yao??

kama unajua kichina nenda mitaani kwao kaongee nao utasikia wanavyotukana.

Ile sio peace and harmony ule ni uoga, ndio maana kila wakipata upenyo wanahama nchi yao, wamejaa kila kona ya dunia, yaani bora waje Africa kuumwa mbu na kuuza kariakoo kuliko kukaa kwenye li nchi lao la kidikteta na kinafki.

Wanataka kulinganisha Tanzania na nchi kama Rwanda na China ambazo zimebanwa tangu kabla ya face book!?? yaani kwa kifupi hawajui utamu wa facebook, twitter, instagram wala you tube.

Mitandao ya kichina Wechat sijui Youku ina fanikiwa kwa vile watu wao ni weeengi. sisi huku wataweka mtandao gani wa taifa wakati watumiaji wenyewe wa social media hata milioni 5 hatufiki!

Vitu vingine yaani hata kuongea zaidi mtu unashindwa....hivi madaraka matamu kiasi gani????? inaonekana kuna watu wanataka madaraka ya milele.
 
You people of Tanzania, listen up: You are becoming the property of the PRC very soon than later, period!!!!
 
The law to be known as the Personal Data Protection Act will be ready in a year’s time from now and it could add onto the two cyber-crime laws dubbed Cybercrimes Act 2015 and Electronic Transactions Act 2015.

“In consideration of regional and international cyber legal requirements, Tanzania has enacted the Cybercrimes Act, 2015 and Electronic Transactions Act, 2015 … and we are in the process of enacting the Personal Data Protection Act to make our cyberspace more secure … in protecting users,” he noted.

Eng. Ngonyani noted that the proposed law would for the first time allow the law enforcers intrude the suspected communications and allow the use of social media communication including pictures, messages as evidence in the court.

Naomba wakalimani mkuje huku , maana hizo haya tatu zimenichanganya.
Msaada tafadhali

Cc. [TAG]cocochanel[/TAG]
 
Kama serikali haina mpango wa kimiya uhuru wa kuongea basi sinaa la kuchangia zaidi ya kusema kwamba. Nchi nyingi zinazojitambua duniani zinakimbia kufanya kazi za security ya nchi na China hasa kwenye mambo ya IT. Well, Kwani tutafungiwa mitambo ya ku monitor all aspect of communication ways. Lakini tambua ya kuwa Wachina watakuwa wanajua kila tunacho plan kupitia mitambo yao. Ni bora Serikali ingekusanya wataalamu wazawa na kufanya hii kazi ya security .
 
Nguvu yote hii ya nini na kwa faida ya nani? Hizi nguvu na resources zote kwanini tusingezielekeza katika kuboresha maisha ya watanzania jamani?
 
Hawa jamaa kwa namna walivyokwisha minya uhuru wa kujieleza kwenye mitandao wameona haitoshi..
Ipo siku wanaweza kuizima kabisa walivyo wakatili.
kiukweli ni bora wangeizima tu jumla kuliko shida wanayotupatia sasa. yani unaedit post mara 7 ndio uipost kisa 'itatafsiriwaje na wale'. sio fare kwa kweli.
 
hakuna aja ya kuedit 7 times,kua makini na unachotaka kupost...hukatazwi kusalimiana,kupeana taarifa,kutumiana picha BUT sio kupost porns,au chatting to harm someone au uharifu wowote
 
haujazuiliwa kuwasiliana kwa huru na haki,cha msingi fuata sheria na taratibu ili uwasiliane salama
 
MATUMIZI BORA YA MTANDAO KIMAENDELEO YA TAIFA LETU,ULINZA WA MAWASIRIANO YETU PAMOJA NA DATA ZETU NI MUHIMU KWA NCHI YETU. Personal Data Protection Act ITATUSAIDIA WATANZANIA
 
Back
Top Bottom