Tanzania: Another Huge Gas Discovery in Ruvuma

Tanzania tuna kila mali ya asili na kila sehemu ,inawezekana hata chini ya hili ghorofa nilipo kuna madini.
 
Sisi tuko busy na siasa za maji taka wenzetu wanajitahidi kuwahi kuvuna bila kutolea jasho mali za Tanzania.
 
Back
Top Bottom