Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,554
Africa ngumu sanaHivi kumbe yaweza kuwa kweli kwamba hawa watu, muuaji Samia na mwenzake Ruto walipanga eh?
View: https://youtu.be/UJ7hJiNslRc?is=S2Mwdwyd127bO9AX
What’s your point?Tatizo wengi tupiga kelele nje ya uwanja wa mapambano. Kwani nini kinakataza mtu ambaye yupo nje ya Tanzania kupanda ndege na kuingia nchini kabla ya siku yenyewe. TUNAUZANA
Tuwe wakweli, Nyani Ngabu ulishahudhuria maandamano yoyote? Angalia watu kama Erythrocyte au Retired mbona juzi hamkujitokeza na mabango?
Tuwashukuru walio nje ya nchi hata kwa hiyo moral support. Wangeweza kunyamaza na kuendelea tu kula bata huko waliko. Sisi tulio ndani ya nchi si ndio tunaofirwa na kupotezwa?Tatizo wengi tupiga kelele nje ya uwanja wa mapambano. Kwani nini kinakataza mtu ambaye yupo nje ya Tanzania kupanda ndege na kuingia nchini kabla ya siku yenyewe. TUNAUZANA
Tuwe wakweli, Nyani Ngabu ulishahudhuria maandamano yoyote? Angalia watu kama Erythrocyte au Retired mbona juzi hamkujitokeza na mabango?
Nafikiri point yake ni kwamba anahitaji akuone mshiriki wote maandamano na sio kupiga makelele tu humu.What’s your point?
Nakubaliana na kuwashukuru kwa msaada wao ila ifike wakati nao hata akina Maria Sarungi waje front badala ya kuongelea nje, sisi wa ndani tunajitokeza, tunaumizwa na kufa wakati wao wapo salama. Kiongozi bora huonesha mfano.Tuwashukuru walio nje ya nchi hata kwa hiyo moral support. Wangeweza kunyamaza na kuendelea tu kula bata huko waliko. Sisi tulio ndani ya nchi si ndio tunaofirwa na kupotezwa?
Kama unadhani the status quo is acceptable, well and good!
🖕Nafikiri point yake ni kwamba anahitaji akuone mshiriki wote maandamano na sio kupiga makelele tu humu.
Ndo hivyo, point yake ni kwamba acha uoga, usiwe kama ,ange na ,aria wanaoongelea chimbani.