Josephine
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 786
- 812
Dr.Dambisa Moyo is a brilliant Economist.Nimesoma vitabu vyake na ameandika ndani ya reality context.
-Ni juzi tu baada ya Sata kuingia madarakani ameamua kumtumia baada y kuona mataifa mengine yanamtumia hususani Botswana na makampuni makubwa kama consultant
Kitabu chake cha 'Dead Aid' kimeenda deep jinsi Afrika tunavyotegemea US na Europe at our detriment
Akija Tanzania sijui ataandika nini hasa anapopenda kutoa mfano kuwa Rwanda kusajili makampuni inachukua only 30 minutes na kuifanya Rwanda kuwa mioni mwa mataifa friendly zaidi kwa investment duniani.In Tanzania it takes ages to register a Business
-Pia kwa mfano 65% ya population ni vijana under 30 lakini serikali haioni potential ya kuwekeza kwa hii vijana kujenga uchumi baadae
Watanzania wengi si wasomaji na watafiti,wakiongozwa na viongozi wao.Kitu hii hawataki kabisa kusikia.