@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk naBen, unajua mimi nilikuona kama kijana mwenye msimamo na uliefunguka akili kidogo lakini sasa naona kuwa na wewe ni mnafiki kama Slaa, lini nimekutukana? Usijidhalilishe kijana.
Chadema wataona 2015.Nilimuona Ben Saanane akiponda uchaguzi wa vijana CCM kwamba ni Mnada huku akisahau uchaguzi wa BAVICHA ambao alikua mgombea walienguliwa kwa Rushwa.
Nilimwambia hawawezi kupambana na UVCCM siku walipokua wakirushiana maneno makali na Beno Malisa pale Rose Garden.
Pia yeye ni sehemu ya waliohusuka kupandikiza mamluki Uvccm wakishirikiana na akina Sango kasera na Makondo ambao walikua wagombea makamu mwenyekiti kwa lengo la kuidhoofisha UVCCM ili asipate changamoto andapo atashinda uchaguzi wa BAVICHA.Aachane na CCM.
Ok nabadili swali, wewe uko kundi gani? La Slaa,mbowe au Zitto?
@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk na
View attachment 69932
Kwa mwendo huu Ikulu mtaisikia 2060 maana wasemaji ni wengi
View attachment 69933
Nikweli CCM must go...........but how?
Mbinu za CDM ni kama hazijaleta matokeo mazuri sana kama ilivyo onekana na kutarajiwa na wengi kwenye chaguzi ndogo za udiwani
Nilikuwa nafikiri labda 2020 CDM itashinda lakini kwa trend hii napata mashaka kidogo
@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk na
View attachment 69932
Kwa mwendo huu Ikulu mtaisikia 2060 maana wasemaji ni wengi
View attachment 69933
Ben, unajua mimi nilikuona kama kijana mwenye msimamo na uliefunguka akili kidogo lakini sasa naona kuwa na wewe ni mnafiki kama Slaa, lini nimekutukana? Usijidhalilishe kijana.
@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk na
View attachment 69932
Kwa mwendo huu Ikulu mtaisikia 2060 maana wasemaji ni wengi
View attachment 69933
......
Sasa mbona unamuuliza maswali nje ya mada? kwa taarifa yako he's so smart na unajua.najua unataka akuambie yupo kundi la zitto .unamtaka ubaya bure.
Mama j,mbona unahangaika hivi? Kuna nini?
hahahaha,rafiki hayo ni ya chumbani kwetu toka lini ukachungulia uchi wa baba au mama yako?kama huwezi basi huwezi kuyajua yachumbani kwa mtu hata siku moja.hausiki wala nchi haiusikii
By the way kuna kitu hapo hujakiona,vuipofu kama ninyi hamuwezi kunizuia kusema nitasema,na nitasimamia kile nacho kiamini.
never think kwa mimi kuachana na mme mmoja na kumpenda mwingine kunaweza kuzuia hoja ama kile nachokiamini na kukusimamia.Tena napoona picha hizo ndiyo nakumbuka lipo kusudi la Mungu kwangu.................mtangangana hapo mpaka Mtaachia mchuma unaondoka huuuooooooooo........
CCM MUST GO.
Mapambano yanaendelea.