Dr.Dambisa Moyo is a brilliant Economist.Nimesoma vitabu vyake na ameandika ndani ya reality context.
-Ni juzi tu baada ya Sata kuingia madarakani ameamua kumtumia baada y kuona mataifa mengine yanamtumia hususani Botswana na makampuni makubwa kama consultant
Kitabu chake cha 'Dead Aid' kimeenda deep jinsi Afrika tunavyotegemea US na Europe at our detriment
Akija Tanzania sijui ataandika nini hasa anapopenda kutoa mfano kuwa Rwanda kusajili makampuni inachukua only 30 minutes na kuifanya Rwanda kuwa mioni mwa mataifa friendly zaidi kwa investment duniani.In Tanzania it takes ages to register a Business
-Pia kwa mfano 65% ya population ni vijana under 30 lakini serikali haioni potential ya kuwekeza kwa hii vijana kujenga uchumi baadae
Ndugu Ben, naomba nikuulize, wewe kama kijana msomi ulie bahatika kupata elimu nje,je kati ya Slaa,Mbowe na Zitto ni nani anafaa kuongoza hii nchi?Dr.Dambisa Moyo is a brilliant Economist.Nimesoma vitabu vyake na ameandika ndani ya reality context.
-Ni juzi tu baada ya Sata kuingia madarakani ameamua kumtumia baada y kuona mataifa mengine yanamtumia hususani Botswana na makampuni makubwa kama consultant
Kitabu chake cha 'Dead Aid' kimeenda deep jinsi Afrika tunavyotegemea US na Europe at our detriment
Akija Tanzania sijui ataandika nini hasa anapopenda kutoa mfano kuwa Rwanda kusajili makampuni inachukua only 30 minutes na kuifanya Rwanda kuwa mioni mwa mataifa friendly zaidi kwa investment duniani.In Tanzania it takes ages to register a Business
-Pia kwa mfano 65% ya population ni vijana under 30 lakini serikali haioni potential ya kuwekeza kwa hii vijana kujenga uchumi baadae
Mama j,mbona unahangaika hivi? Kuna nini?
Africa does not need Aid to develop.Ndugu Ben, naomba nikuulize, wewe kama kijana msomi ulie bahatika kupata elimu nje,je kati ya Slaa,Mbowe na Zitto ni nani anafaa kuongoza hii nchi?
Mama j,mbona unahangaika hivi? Kuna nini?
haya we msomi na mtafiti umelisaidia vipi Taifa ?Watanzania wengi si wasomaji na watafiti,wakiongozwa na viongozi wao.Kitu hii hawataki kabisa kusikia.
anamtunza rais Slaa, si ndio anavyo jisifu huko mikutanoni.haya we msomi na mtafiti umelisaidia vipi Taifa ?
haya we msomi na mtafiti umelisaidia vipi Taifa ?
.Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo
Hivi aliyekuwa na viti 2 akapata vitano na yule aliyekuwa na viti 27 akapata 22, nani kapoteza na nani kapata?
By the way, hivi Mukama ana umri gani?? Msekwa ana Umri gani? Mpinzani gani unayemtaka wewe apatikane?
.Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae. Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa vibabu
Slaa kaingiaje hapa kwenye hii mada?? au umekuja na personalities zako kufanya attacks?
Zitto yuko wapi aokoe hiki chama?
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo.
Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae. Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa vibabu. Zitto yuko wapi aokoe hiki chama?
Ndugu Ben, naomba nikuulize, wewe kama kijana msomi ulie bahatika kupata elimu nje,je kati ya Slaa,Mbowe na Zitto ni nani anafaa kuongoza hii nchi?
Watanzania wengi si wasomaji na watafiti,wakiongozwa na viongozi wao.Kitu hii hawataki kabisa kusikia.
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo.