Tanzania 4th mobile phone user in Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania 4th mobile phone user in Africa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BabuK, Jan 1, 2010.

 1. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2010
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  TANZANIA’S mobile telephone industry now accounts for five per cent of mobile phone subscribers in sub-Saharan Africa.

  The 2009 International Telecommunications Union (ITU) report says Tanzania has the fourth highest number of subscribers, after Nigeria, South Africa and Kenya that respectively account for 26 per cent, 19 per cent and 7 per cent of mobile cellular subscriptions in the region.

  For the past eight years, mobile phone subscribers have increased from less than 300,000 to over 14.09 million, translating to 25 per cent penetration. Neighbouring Kenya had 17.4 million mobile phone subscribers by end of June last year, translating to 45.7 per cent penetration.

  Tanzania and Ghana have contributed a significant share of subscribers, with five per cent each, and Cote d’Ivoire joins the fray with four per cent. The report titled ‘Information Society Statistical Profiles 2009 – Africa,’ notes that "Growth in Nigeria has been very strong.

  Kenya, Ghana, Tanzania and Cote d’Ivoire have also accounted for the change in distribution of mobile connections.”

  The report, by the United Nation’s telecoms arm, also notes that mobile telephone growth over the last five years has defied all predictions and lauds Africa as the region with the highest mobile growth rate.

  The achievement is highlighted by the fact that by the end of 2008, Africa had 246 million mobile subscriptions. And the mobile penetration has risen from just five per cent in 2003 to well over 30 per cent today.

  "The high ratio of mobile cellular subscriptions to fixed telephone lines and the high mobile cellular growth rate suggest that Africa has taken the lead in the shift from fixed to mobile telephone, a trend that can be observed worldwide" says the report.

  Despite rapid growth, however, Africa’s ICT penetration levels in 2009 are still far behind the rest of the world, and very few African countries reach ICT levels comparable to global averages.

  According to ITU, less than five per cent of Africans use the Internet, and fixed and mobile broadband penetration levels are negligible.

  Both end-users and industry players still face significant challenges in increasing ICT uptake levels. "These include the lack of full liberalisation of markets and poor infrastructure.

  In addition, prices for ICT services remain very high, compared to income levels, and broadband Internet services are out of the reach of most Africans," said ITU in the report.

  In Africa, Angola has the lowest airtime Value Added Tax and excise duties whereas those of Tanzania are highest after Zambia, Rwanda and Uganda.  SOURCE: DAILY NEWS, TANZANIA: JAN. 1st 2010,

  Je matumizi ya simu hizi anasukuma maendeleo kwa asilimia kubwa au ni Longer Longa Times tuuuuuuuuuuuuuu!!!
   
 2. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Bongo asilimia 80 ya cmu hutumika katika kurudisha maendeleo nyuma wengi wao ikiwa ni kwny mapenzi!
   
 3. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Yaani hadi waondoe nchi nyingine kwenye continet ndiyo tushike nafasi ya nne. Aibu kubwa - Sisi tunajisifia ujinga ndiyo nchi inayo-charge rate kubwa bila sababu yoyote na msimamizi wa mawasiliano ya simu amekwenda kulala sijui ataamka lini. Ingekuwa bora hiyo analysis kuwa based na ratio ya population na ubora wa huduma.

  Tanzania tumejaza majambazi tu.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hiii ni habari kubwa sana kwa wanaoelewa.......
  It means watanzani ni wanne africa kwa utajiri.....
  Ndo maana makampuni ya simu yanapata faida kubwa hizo.....

  Statistics za gdp za tanzani sio za kweli kwa sababu
  watanzania waliopo kwenye uchumi rasmi ni milioni mbili tu.

  We are not that poor as they want us to believe......
   
 5. b

  bnhai JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Mie napata mashaka pia na takwimu hizi. Unalinganisha nchi kwa kuangalia idadi ya watu wanaotumia simu wakati population ni tofauti!
  Watafute ratio ya watumia simu to population au viceversa.
  Pia takwim nyingi Afrika si sahihi kama makampuni mengi ya simu yanavyodanganya. Mf mtu analaini za mitandao yote (Wanakuwa watu wangapi?) Au mtu analine mbili za kampuni moja! Ndio maada idadi ya subscribers voda huwa naona ipo inflated.
   
 6. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  jamani hii ni subsahara
  hamna nchi kama egypt, morocco, algeria nk
  katika sub-sahara nchi chache sana zimetupita kwa idadi ya watu
  nchi ambazo zimetupita kwa watu na tuko juu yao kwa mobile ni DRC na ethiopia
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Bongo bana tambarare sana tu, siku hizi utakuta mtu mmoja ana simu tatu, tigo voda na zain au zantel, ukimwona anavyopiga na kupokea simu utadhani anatengeneza mamilioni ya pesa, kumbe simu zote hizo ni wanawake tu, mabrazameni au mababu utakuta pale karibu na gia ya gari kaweka simu tatu kila dakika zina vibrate tu mademu wanataka miadi ya siku, haya akina dada nao utakuta kwenye ile mipochi yao mikubwa anasimu tatu au mbili na line kibao tu, zote wanaume tu hakuna cha maana, maana wanawake wa siku hizi kitu kikubwa katika maisha yao ni outing na kupangishiwa chumba na ma sugar daddy na mashindano ya nani kaletwa na gari gani? So utakuta mwanamke kila men aliyenaye ana line yake ya kupiga na miadi inapangwa kiufundi mno, hiyo ndo bongo
   
 8. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Tujiulize, Je umiliki huo wa simu ni kwa kujionyesha au vinginevyo. Naona wengi tuashindana kumiliki simu za fahari ili kujionyesha kuwa tuna uwezo wa kununua simu za bei kubwa
   
 9. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ukiondoa companies za Uchimbaji wa madini.......companies za simu zinaongoza kwa kutuibia sisi watanzania...........tunahitaji mabadiliko makubwa mno..
  Angalia SA nchi kubwa na yenye uchumi mkubwa lakini kuna companies chache sana za simu ila sisi tuko wachache na "masikini" ila companies ni nyingi mno!!!!!!!
   
 10. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wala hiyo sio problem, tatizo ni matumizi ya simu zenyewe. Mchina ndo kaharibu mambo kabisaaaa! Maana kajaza sokoni simu mpaka za 20,000/= hata asiyekuwa na uwezo wa kumiliki simu sasa anamiliki. Kutumia simu kwangu sio ishu, ishu je zinatumikaje? Kuzalisha au kutokomeza uchumi wetu (binafsi, wa familia mpaka wa Taifa)? Tutafakari.....
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sehemu kubwa ya nchi hii huduma ya umeme haijafika lakin utashangaa huko ndiko simu zilikojazana.wanachaji vipi MI NA WEWE HATUJUI....
   
 12. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hujui ulinenalo. Hujui maendeleo ya nchi yanaanzia kwenye level ndogo ya mahusiano ya mtu mmoja mmoja?
   
Loading...