Tanzana bla uchafu Liwalo na liwe..............

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
000000000page7.jpg

Wafanyabiashara wa mboga matunda katika la soko la Mbuyuni mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, wakiwa wamepanga bidhaa zao pembezoni mwa taka, jambo linalohatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa. Picha na Dionis Nyato
 
0000000masai.jpg

Mkazi wa Engaruka,wilayani Monduli Mkoa wa Arusha akichota maji kwenye Mto Engaruka ambao wafugaji huutumia kunyweshea mifugo na matumizi ya nyumbani jana. Eneo hilo linakabiliwa na uhaba wa maji safi.Picha na Filbert Rweyemamu
 
Moshi mji msafi kuliko yote Tanzania kunani!?

000000000page7.jpg

Wafanyabiashara wa mboga matunda katika la soko la Mbuyuni mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, wakiwa wamepanga bidhaa zao pembezoni mwa taka, jambo linalohatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa. Picha na Dionis Nyato
 
Moshi mji msafi kuliko yote Tanzania kunani!?
Mkuu BAK Hakuna hata mji wowote ule ulio Msafi hapo kwetu Tanzania karibu miji yote ni michafu mkuu.

Haiwezekani! Hizo takataka labda nazo zinauzwa jamani! Mweh!
Mkuu King'asti Hata kama hizo takataka zinauzwa zitakuwaje kwenye eneo la soko tena kwenye

wauza vyakula? kama sio ni uchafu huo? hakuna Askari wa jiji hapo? Wahusika wamelifumbia macho tatizo hilo?

huo mji Hakuna Meya wa Manispaa? Hakuna Meya waMji huo? Hakuna Mbunge wa mji huo? Wote hao wanafanya

kazi gani? Viongozi wamelifumbia macho hilo tatizo mpaka Watu wapatwe na Maradhi na kufa ndio Viongozi utaona wanakurupa kama

waliofukuzwa na wanyama wakali? ahhhh nchi inaongozwa na viongozi Mafisadi kweli................
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu, tatizo la mafisadi wetu ni wachoyo na wavivu! Hata ukiwa fisadi unashindwa kusimamia basic things kama usafi? Tena nilidhani kama nimechukua rushwa kwa mkusanya taka, I will make sure hakuna maswali kwenye hiyo kazi ili jina langu lisiibuke! We need a new name for this seriously!
 
Last edited by a moderator:
000000000page7.jpg

Wafanyabiashara wa mboga matunda katika la soko la Mbuyuni mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, wakiwa wamepanga bidhaa zao pembezoni mwa taka, jambo linalohatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa. Picha na Dionis Nyato

Kumbe safari aliyoizuia Mkuu wa Mkoa wa Kili ya timu ya Manispaa kutembelea Kigai-Rwanda kujifunza mbinu za kusafisha mji bado inatakiwa kufanyika I see
 
tukimuongezea kikwete miaka mitano na ccm miaka mia tutakua zaidi wamarekani kimaendeleo maisha bora kwa kila fisadi yadumu.mungu usiibariki tanzania sababu sisi hatujielewi.
 
Back
Top Bottom