Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,325
Mkuu Ushimen. Nimezikuta sehemu hizo mkuuMkuu.....
Naona upo vizuri.....
Hizo kanga zote ni zako....
Ohoooo......Mkuu Ushimen. Nimezikuta sehemu hizo mkuu
Mkuu mapema yote hii ushaanza kunichoka!Ohoooo......
Basi sawa mkuu, maana nilikua nimeanza kukuwazia kama wale wanao shindana na dada zao kuvaa kanga....
Mambo ya wanawake wa uswaz hayo mkuu.Aiseee
Sana mkuu na mvaaji ukitaka kufaidi awe na boga kubwaukivaliwa kanga hiyo na iwe moja mwilin unaweza kuomba ruhusa kazin ukawa unashinda ndan tu,wakubwa wanafaidi