fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 391
Wadau habarini za leo,
Nilikuwa natafuta tovuti ya tanroads na kugundua kuwa wana tovuti mbili kwa wakati mmoja - Tanzania National Roads Agecy (TANROADS) na Tanzania National Roads Agency(TANROADS)
Sasa wadau hiyo imekaaje maana ni kama ufisadi unafanyika kwa kuwa website zote zipi up to date yawezekana kuna maslahi binafsi au?