Elections 2010 Tanroads vipi mbona leo?

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Wakuu ambao wako bongo watakubaliana na mimi kuwa sasa hivi kumekuwa na documentary ya ujenzi wa barabara nchini, documentary hiyo inaonesha barabara zilizojengwa na mipango ya barabara zitakazo jengwa, vilevile wanauliza comments kwa wananchi juu ya barabara hizo nina maswali mawili:-

1. Kwanini leo?
2. Enarudiwa rudiwa sana, nimeiona ITV kama mara Tano kwa muda wa week moja, same to Channel Ten na Star Tv.

Imekaaje hii
 
watanzania hatudanganyiki bana....walikuwa wapi siku zote wasionyeshe waonyeshe leo....muafaka ni tar 31 Oct
 
watanzania hatudanganyiki bana....walikuwa wapi siku zote wasionyeshe waonyeshe leo....muafaka ni tar 31 Oct

CEO wao alikuwa bado anapambana na kesi zinazowazunguka. Ndio amezimaliza sasa anatusimulia mafanikio yao.....kweli sikio la kufa halina dawa.
 
Back
Top Bottom