TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

Shida huyo jamaa Mzuri anaweza kuwa hana connection ya kumsaidia kuteuliwa kwenye hiyo post

Maana Nchi hii kama hauna connection utasubiri sana kwenye Uteuzi
Ndio inatakiwa hizo nafasi watu waombe Ili wapate Kwa merit sio kuteuliwa na Rais mpaka connection.

Watu wa hivyo wanaweza kuwabadili Watumishi wao ambao wanaishia Kwa kukaririshwa hawana uelewa Nje ya hapo.
 
Hakuna mtu ambaye hapendi barabara nzuri za kisasa 6 lanes mpaka 14 lanes huko zilizo na interchanges/flyovers za kisasa etc.

Swali ni je kuna uhitaji sehemu husika au unataka mabillion ya fedha yachomwe kisa beautification wewe zezeta.
Kwa mfano sehemu ambazo wameweka mataa barabara ya njia 8 , tena na zebra za wapita kwa miguu.. unadhani hizo nazo ni akili?
 
Barabara ni professional designs, na Kuna vigezo vya kuruhusu barabara iweze kukubalika kujengwa, hapa Dar barabara inakwepa nguzo ya umeme, barabara hakithi viwango vya slope, barabara inajengwa Haina nafasi ya mtumiaji mwingine, mwenda Kwa miguu na mtaalamu WA Tanroads anaona ni SAWA, kama barabara ya kimara kibaha, design ni mbovu na inachangia vifo vingi vya wavukaji, hakuna kizuia jua au mvua, Engineer WA Tanroads anakuja Huku akiwa ameshina msosi anasema tupo complete asilimia 100, like seriously!!
Kuna barabara inatoka Hapa Dar Kwa Msuguri kwenda Malamba mawili, hii barabara imejengwa Kwa zege na gharama kubwa ila Haina upana WA watumiaji wengine, watoto wanagongwa Kila siku, who cares, usanifu WA barabara ni kuangalia matumizi ya watumiaji wote, ila Hawa Tanroads hawajali kutumia utaalamu wao!! Narudia ni Janga
😂😂😂 hao TanRoads ni mfano mdogo tuu wa mataasisi yaliyojaa watu mbumbumbu.

Nilitegemea watabadilika ila nikashangaa wakati wanafanya presentation ya mradi wa Mbeya njia 4 watakuja na suluhisho lakudumu.

Cha ajabu sehemu kama Mafiati ambayo ndio junction kuu ya Jiji la Mbeya kama ilivyo Ubungu eti wanaweka keepleft 🙄🙄

Pale Mafiat kuelekea Airport ya Zamani Kuna soko kubwa linajengwa,Kuna stand stand ya daladala za Wilayani ,mbele yake ni Mwanjelwa CBD eneo ambalo ndio liko busy ,upande Mwingine ni City Centre kwenye Ofisi za Umma.

Sasa walishindwa nini kuweka simple flaiova walau njia Moja iwe non stop Ili zingine ndio ziongozwe Kwa taa?

Mpaka hapo nikayadharau hayo Ma TanRoads hayana akili,na kichaka Chao ni gharama.

Sasa yameharibu Miji Mingi Kwa local thinking zao hivyo hivyo.
 
Hakuna mtu ambaye hapendi barabara nzuri za kisasa 6 lanes mpaka 14 lanes huko zilizo na interchanges/flyovers za kisasa etc.

Swali ni je kuna uhitaji sehemu husika au unataka mabillion ya fedha yachomwe kisa beautification wewe zezeta.
Nitajie wewe Mji gani mkubwa hapa Tanzania hauna uhitaji wa Barabara nzuri na za Kisasa.

Mwisho sio lazima uwe unafanya kazi TanRoads Bali kule kumejaa watu wenye akili za kipumbavu kama wewe.
 
Nitajie wewe Mji gani mkubwa hapa Tanzania hauna uhitaji wa Barabara nzuri na za Kisasa.

Mwisho sio lazima uwe unafanya kazi TanRoads Bali kule kumejaa watu wenye akili za kipumbavu kama wewe.
Kumejaa wajinga kweli hili lipo wazi kabisa!
Mfano huwezi jenga 4 lanes tunduma na msongamano ule!

Ila licha ya ujinga wao hawakufikii hata tone wewe ni zezeta.
 
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.

View attachment 2867192
Nakubaliana na ubora wa design, ila kusema Kisumu ni mji mdogo kabisa huko Kenya hapo nakataa

Angalia tena figures zako, ila ukweli usemwe kuwa tuna kitu cha kujifunza kwa wenzetu kama ambavyo nao wana vitu vya kujifunza kwetu
 
Hawa Tanroads, Kuna hizi barabara wanaboresha, natoa mfano, masana goba to mbezi, na wazo mbezi, hizi barabara mwanzoni kwenye vumbi zilikuwa zinabeba uzito Hadi Tani ishirini Hawa ndiyo watumiaji waliowakuta, Sasa wao wameboresha na kuweka limit Tani kumi, Sasa kinachotokea Hawa watumiaji walishazoea, Sasa iweje usanifu hakuwazingatia watumiaji!? Ila baada ya kufuatilia nimegundua hivi vibao ni ATM za wataalamu WA Tanroads, Watu WA malori wanakamatwa na kutoa Rushwa kubwa!! Kwani faini iliyowekwa hailipiki makusudi, ili Rushwa iwe kubwa!! Takukuru mkoa wapi!?
 
Huu upumbavu uko Hadi TARURA.Hivi Hawa watu Huwa wanaelewa kwamba jukumu lao ni ku complement sera za Serikali za kukuza biashara badala ya kuwa kikwazo?

Kuna sehemu nimeona Tarura wanajenga Barabara wanazoita za Vijijini kwenda kwenye maeneo ya uzalishaji.Cha kushangaza wanajenga Barabara za tani 10 harafu baadae wanazuia magari.

Unajiumiza hivi Huwa wanafikiria sawa sawa au lengo loa ni nini? Kwamba Kirikuu ndio zikabeba miti,mbao na magunia?

Nchi hii Ina watu wapumbavu sana kwenye sekta nyingi.
 
Kabisa! Kuzozana kwangu na wewe haimaanishi sitaunga mkono hoja za muhimu
 
Kabisa! Kuzozana kwangu na wewe haimaanishi sitaunga mkono hoja za muhimu
Hata usupounga mkono au ujenge sioati Wala kukosa pesa.

Waambie ndugu zako waache kuwa mapunguani,unajenga Barabara kwenda Mafinga ndani huko na u ajua watu wanalima miti unategemea kirikuu ndio ikabebe?

Badala ya kuwa Msaada inakuwa kero.Kuna Mbunge aliwahi shauri Tarura kuacha huu upimbi sijui walimwelewa au hapana.

Na Kwa jinsi Nchi hii ilivyo na Wataalamu wasengerema hapo ni mpaka mkubwa aje aagize ndio wataacha
 
Huu upumbavu uko Hadi TARURA.Hivi Hawa watu Huwa wanaelewa kwamba jukumu lao ni ku complement sera za Serikali za kukuza biashara badala ya kuwa kikwazo?

Kuna sehemu nimeona Tarura wanajenga Barabara wanazoita za Vijijini kwenda kwenye maeneo ya uzalishaji.Cha kushangaza wanajenga Barabara za tani 10 harafu baadae wanazuia magari.

Unajiumiza hivi Huwa wanafikiria sawa sawa au lengo loa ni nini? Kwamba Kirikuu ndio zikabeba miti,mbao na magunia?

Nchi hii Ina watu wapumbavu sana kwenye sekta nyingi.
Eti Kwa mfano ukiharibikiwa na Gari (lori) daraja la kijazi faini laki tisa, unazuiwa usifanye chochote, brake down laki Tano, hivyo unatakiwa ulipe million na laki nne, huu uonevu unaofanywa na Hawa jamaa Mungu atawalipia
 
Yaani faini ya kuharibikiwa gari? Gari si linaharibika popote, hapo kulipa faini inawezekana vipi?
 
Netanyahu a.k.a Pakashume usiwe mwongo,Barabara ya Singida to Babati imekamilika toka 2012 ndio iwe Haina hata miaka 10? Tena kipande Cha dareda to Babati ndio kilichelewa Ila Singida to katesh toka 2009 kilikuwa tayari Kama vile kipande Cha Babati to Minjingu Sasa usiwe muongo Kama huyo wajina lako uwe na taarifa sahih
We mwenyewe muongo sisi ndiyo tumefanya kaz hapo hiyo barabara imeanza kujengwa 2009 had 2012 ndiyo ilikamilika kutoka singida had babat then babat had minjingu
 
Yani hapo kimara tu barabaraa ovyooo ovyooo matopeee kila konaaa...kama upo matomboo hapo kuna mbunge sijui taruraa mata tanroad takataka kibaoo ila hakuna cha maana. upigaji na wiziii tu
 
Back
Top Bottom