Tanroads: Damage caused by overloading cost the nation 77bn/- this year, up from 62bn/- 2011/12.

B

Bogot'aa

Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
28
Likes
0
Points
0
Age
28
B

Bogot'aa

Member
Joined Oct 9, 2013
28 0 0
Tanzania National Roads Agency (Tanroads) plans to install Weigh in Motion equipment to screen heavy trucks so as to reduce the congestions and save time at weighbridges, it has been learnt.

The plans are contained in a report released in Dar es Salaam by Tanroads titled: "Vehicle Overload Control on Trunk Roads in Tanzania................."

The report was compiled senior Tanroads engineers Joseph Lwiza, Lucian Kilewo, Boniface Malisa and Japhet Kivuyo, who noted that vehicle damage due to overloading has increased by 25 percent.

"While the engineers say damage caused by overloading cost the nation 77bn/- this year, up from 62bn/- 2011/12....................."

Kwa mtindo huu barabara zetu hazitadumu hata kama zikidumu sana sana ni miaka mitatu tu (3) badala ya miaka ishirini (20) inayotakiwa kuwa (Pavement Life Span). Ili kupata uharibifu unavyofanyika katika barabara zinazosimamiwa na TANROADS, naomba pata taswira mbalimbali za picha kadhaa kutoka kwa wapenda maendeleo na wazarendo wenzangu:

Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,476
Likes
2,417
Points
280
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,476 2,417 280
Tanzania National Roads Agency (Tanroads) plans to install Weigh in Motion equipment to screen heavy trucks so as to reduce the congestions and save time at weighbridges, it has been learnt.

The plans are contained in a report released in Dar es Salaam by Tanroads titled: "Vehicle Overload Control on Trunk Roads in Tanzania................."

The report was compiled senior Tanroads engineers Joseph Lwiza, Lucian Kilewo, Boniface Malisa and Japhet Kivuyo, who noted that vehicle damage due to overloading has increased by 25 percent.

"While the engineers say damage caused by overloading cost the nation 77bn/- this year, up from 62bn/- 2011/12....................."

Kwa mtindo huu barabara zetu hazitadumu hata kama zikidumu sana sana ni miaka mitatu tu (3) badala ya miaka ishirini (20) inayotakiwa kuwa (Pavement Life Span). Ili kupata uharibifu unavyofanyika katika barabara zinazosimamiwa na TANROADS, naomba pata taswira mbalimbali za picha kadhaa kutoka kwa wapenda maendeleo na wazarendo wenzangu:

Nikifika tu hapo mimi najiamulia kurudi kwenye Lugha yangu ya Kiswahili tu basi!
 
C

Camalillo

Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
89
Likes
54
Points
25
Age
41
C

Camalillo

Member
Joined Oct 12, 2013
89 54 25
Tanzania National Roads Agency (Tanroads) plans to install Weigh in Motion equipment to screen heavy trucks so as to reduce the congestions and save time at weighbridges, it has been learnt.

The plans are contained in a report released in Dar es Salaam by Tanroads titled: “Vehicle Overload Control on Trunk Roads in Tanzania.................”

The report was compiled senior Tanroads engineers Joseph Lwiza, Lucian Kilewo, Boniface Malisa and Japhet Kivuyo, who noted that vehicle damage due to overloading has increased by 25 percent.

"While the engineers say damage caused by overloading cost the nation 77bn/- this year, up from 62bn/- 2011/12....................."

Kwa mtindo huu barabara zetu hazitadumu hata kama zikidumu sana sana ni miaka mitatu tu (3) badala ya miaka ishirini (20) inayotakiwa kuwa (Pavement Life Span). Ili kupata uharibifu unavyofanyika katika barabara zinazosimamiwa na TANROADS, naomba pata taswira mbalimbali za picha kadhaa kutoka kwa wapenda maendeleo na wazarendo wenzangu:

View attachment 125694 View attachment 125695 View attachment 125696 View attachment 125697 View attachment 125698 View attachment 125699 View attachment 125700 View attachment 125701 View attachment 125703 View attachment 125704 View attachment 125705 View attachment 125706 View attachment 125707 View attachment 125708 View attachment 125709 View attachment 125710 View attachment 125711
Nilishawahi kutoa thread inafanana na hii humu jamvini, nachosema ni barabara zitatoboka si muda mrefu kwa vile uwezo wa barabara zetu kuhimili traffic loading hauendani na design yake. Tegemea kitu kinaitwa "Structural Deformation"

Na ni aibu kubwa kwa taifa masikini kama Tanzania kujenga barabara kwa gharama kubwa mfano kwa sasa 1km/1billion(Tshs) harafu wanashindwa kuzihifadhi ili zidumu kwa design life span yake, hizi mbwembwe za kuzindua mabarabara na kuweka mawe ya msingi zitakuwa useless kabisa, hali ikiendelea hivi, yangu macho.
 
Forum statistics

Threads 1,252,217
Members 482,048
Posts 29,800,723