TANROAD Tanga vipi?

TANROAD Tanga vipi?

Wakuu mlioitwa weighbridge operator kuna yoyote ameitwa ikiwa hana cheti/diploma/degree ktk engineering ila katumia cheti cha kada nyingine na kaitwa, nataka kujua kama kuna walioapply kwa vyeti vingne wamekuwa considered.
 
Mkakomae vijana, nimesikia wanalipa vizuri sana kama laki 9 hvi sina uhakika, kibongo bongo iko poa.
 
Back
Top Bottom