Tanroad mnafeli wapi? Daraja siku 3 bado halipitiki?

Good naamini Wewe ni Mhandisi umejibu kihandisi ! Nahisi pia hapakufanyika Hydrological Design maana Hiyo Cross Drainage structure ni ya zamani mno(Corrugated Metal Pipe/Amco)na ilifukiwa wakati wa upanuzi wa barabara pasipo Hydrological Design kujua Discharging Capacity yake (m3/sec).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli per diem za site visit za WAHESHIMIWA na ving'ora...ni indirectly proportional to the engineers requirements...

Nguvu iliyotumika kuwapeleka wanasiasa kwenda kuliona daraja ni kubwa mno, kuliko nguvu ya kupeleka mahitaji ya wahandisi kufanikisha ujenzi...

Mhandisi TANROAD, mbuzi wa kafara, mkoa wenye milima kama Morogoro, na madaraja lukuki na mvua za kisulisuli za mwaka huu, nobody anticipated disaster kama hiyo..

Je, kulikuwa hata na bajeti ya pre-emptive??

Pale DART Jangwani, hakujawajibisha mtu mpaka kesho..double standards zetu matata SANA.

Everyday is Saturday................. 😎
 
Dah....tatizo kuu ni wanasiasa kuingilia kazi za kitaalaam....binafsi bado nasubiri ubunifu ule wa kuinua daraja la jangwani mita 300 kwenda juu utekelezwe [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Tanroads ilitakiwa wawe na 'madaraja ya jeshi'.
Yale madaraja ya chuma ya kubeba na kupakia.... Yani dharura ikitokea daraja linafitishwa fasta, maisha yanaendelea.
 
Taarifa iliyotoka jana ni kwamba usiku wa jana lingeanza kufanya kazi.

Vipi hadi leo bado tu?
 


Kila nikipita barabara kuu naona mashimo makubwa makubwa katikati ya barabara na mameneja wa tanroads wapo

Najiuliza kazi zao ni zipi na gharama za kuziba hizi potholes ni kubwa kiasi gani...inasikitisha sana
 
Ninavyofahamu mimi madaraja yanatakiwa yawe yanakaguliwa kwa vipindi tofauti na taarifa zake ziwe documented kwa ajili ya maintenance na preventive measures,sasa je ukaguzi kwa madaraja yetu huwa unafanyika?na je documents za hilo daraja zinaeleza nini?mimi nina mashaka sana na mameneja wa Tanroads juu ya ufanisi wao katika kazi,ni wakati sasa umefika wa kuwachukulia hatua stahiki,kwani madhara yaliotokea kwa daraja la Kilosa ni mzigo mkubwa sana kwa serikali yetu na wenzetu wa nchi jirani...
 
Sana wala siyo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…