Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Mkuu Lowasa yupi yule mwizi au mwingine?mbona baba yako mwizi sisi hatusemi. LOWASA NDO MPANGO MZIMA. Mgombea mwenza TINO
Mkuu Lowasa yupi yule mwizi au mwingine?mbona baba yako mwizi sisi hatusemi. LOWASA NDO MPANGO MZIMA. Mgombea mwenza TINO
Mkuu Lowasa yupi yule mwizi au mwingine?
Kama Lowassa ni mwizi basi chama chote kimejaa majambazi. Angekua mwizi naamin chama kingekua kimemwajibisha na kumuadabisha nakupelekwa kule wezi wanapopelekwa. Hakuna mwizi anayeweza kumuadabisha mwizi mwenzake.
Mkuu yawezekana uko sahihi, maana tatizo kuu liliopo ccm kwa sasa ni namna ya kumpata 'Yuda' wa kulikata jina la Lowasa! Unakumbuka Mudhihir na Zitto wa Buzwagi?List za 5 bora ziendelee, zije listi za 3 bora na kumalizia kwa mgombea! ila rais wa Tanzania 2015 ni mmoja tuu kupitia ndani ya CCM ikishindikana, then nje ya CCM!.Pasco
1.John Pombe Magufuli
2.Mark Mwandosya
3.Augustino Ramadhani
4.Bernard Membe
5.Makongoro Nyerere
Source: Raia Mwema, Juni 24-30, 2015
Uelewa ... kazi kwelikweli, tumsamehe tu
Ondoa Membe weka Bilal.1.John Pombe Magufuli
2.Mark Mwandosya
3.Augustino Ramadhani
4.Bernard Membe
5.Makongoro Nyerere
Source: Raia Mwema, Juni 24-30, 2015
we are not talking about Gombe and Mahale bro!
Mkuu yawezekana uko sahihi, maana tatizo kuu liliopo ccm kwa sasa ni namna ya kumpata 'Yuda' wa kulikata jina la Lowasa! Unakumbuka Mudhihir na Zitto wa Buzwagi?