Mkuu mbona haueleweki? mara ya kwako mara source Raia Mwema.
Mwanamke?
No, friend, jamaa alimjibu mtoa mada direct, kumbuka wakati nacomment mtoa mada hajaleta hiyo reference!!!Mkuu, nadhani ninyi ndiyo hamjamuelewa jamaa. Raiamwema wametabiri/bashiri tano bora ya wagombea wa CCM. Kabla ya kifo chake shekhe Yahya naye alikuwa akifanya hivyo. Jamaa kaandika RIP shekhe Yahya kama kejeli kwa raiamwema kuwa wameridhi mikoba ya shekhe Yahya (utabiri)
Watanzania wanamtaka Lowassa tu
Watanzania wanamtaka Lowassa tu