Tani 100 za Ulezi msafi zina itajika!

Tani 100 za Ulezi msafi zina itajika!

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Haijalishi kama huna tani zote 100 ila tuna nunua kuanzia gunia 10 nakuendelea..

Kinachotakiwa ni Ulezi usiwe na mchanga wala usiwe mchafu.

Ukauke vizuri.

Bei iwe nzuri

Njoo Dm tuongee zaidi
mqdefault.jpg
 
Sidhani ikiwa kuna mkulima ana ulezi kwa sasa.

Mshauri pia pale kwenye vigezo ahariri na kuongeza kigezo cha LAZIMA ULEZI UTOKE KWA MKULIMA. AU TUNANUNUA TOKA KWA WAKULIMA.
Tatizo muuzaji anataka mm nimpe bei.. hivi mtu anayetaka kufanya biashara aliyo nayo anaweza pewa bei namnunuzi?? maana kama kweli mtu yupo serious anatakiwa aseme upo kiasi flan, eneo flan, bei flan,

Sasa unanitaka mm nikutajie je? haya nataka gunia kwa elfu 50 ! je ata niuzia kwa bei ntakayo taja??
 
Hapana usishangae kama ni mgeni kwenye biashara ya mazao. Watu wengine wanaochukua mzigo mkubwa wa mazao kama huo huwa wanatangaza nanunua labda kwa kilo kiasi kadhaa, mtu akiona inafaa anakucheki
 
Tatizo muuzaji anataka mm nimpe bei.. hivi mtu anayetaka kufanya biashara aliyo nayo anaweza pewa bei namnunuzi?? maana kama kweli mtu yupo serious anatakiwa aseme upo kiasi flan, eneo flan, bei flan,

Sasa unanitaka mm nikutajie je? haya nataka gunia kwa elfu 50 ! je ata niuzia kwa bei ntakayo taja??
Tatizo la Tazania yetu madalali wengi ndio wanaoharibu biashara. Utakuta anapambana ajue bei ya muuzaji na pia ya mnunuaji kisha ampandishe mnunuaji na amshushe muuzaji na mwisho wa siku yeye ndiye anafaidika zaidi. Hawataki kuridhika na pesa ya kuwakutanisha mnunuaji na muuzaji.
 
Jamaa kama kweli unataka kufanya biashara ya mazao Kwa Tz hii ww mnunuzi ndo unatangaza ofa yako....ya kununua ...by the way saiz kupata Kwa mkulima ni ngumu ..kwasab sio msimu wa kuvuna ...ila Kwa wafanyabiashara utapata ... sometimes madalali hawaweki Cha juu ila tu tunakubaliana nikikutaftia hiyo Mali unayotaka Kwa tani au gunia moja utanilipaje...it's very simple like that ...nipo mbeya kama upo tayari njoo tufanye kazi chapchap
 
Niambie Mbeya napata gunia moja kwa bei gani? ilituongee kila gunia nitakupa bei gai ya udalali
 
Back
Top Bottom