Tangu utawala wake kupinduliwa Zanzibar mwaka 1964, hatimaye Sultan Jumshid bin Abdullah arudi na kupokewa Oman akitokea uhamishoni nchini Uingereza

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,198
14 September 2020
Muscat , Oman

Sultan wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah hatimaye akanyaga ardhi ya Oman


Sultan wa mwisho wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah mwenye umri wa miaka 91 ameruhusiwa kuingia Oman kwa mara ya kwanza toka apinduliwe ktk Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar tarehe 12.Januari 1964 kisha kukimbilia Dar es Salaam kwa muda kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi nchini Uingereza.

The departure from Zanzibar of H.M Sultan Jamshid and his entourage,
Picha : Sultan Jamshid, familia na wafuasi wake wakiwasili Dar es Salaam baada ya kukataliwa kuingia Mombasa Kenya baada ya kupinduliwa January 12 , 1964.

Uamuzi wa Sultan wa Oman Maulan Mtukufu Mheshimiwa Haitham bin Tarek ambaye ni ndugu wa ukoo wa damu kupitia familia zao za miaka ya 1860 kumruhusu Sultan wa Mwisho wa Zanzibar kuingia Oman kutampatia fursa Jamshid Bin Abdullah kujiunga na ndugu zake wengine waliokimbia uhamishoni na kuruhusiws kuingia Oman katika miaka ya 1980 kwa mujibu wa gazeti la The National la Imarati Emirate.

Sultani huyo wa mwisho wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah ameishi uhamishoni nchini Uingereza kwa zaidi ya miaka 50 na kuweka makazi yake katika mjini wa Portsmouth.

Sultan Jamshid bin Abdulla kwa miaka mingi alijitahidi kuomba kuruhusiwa kuingia Omani lakini hakufanikiwa kwa kile kilichoitwa sababu za kiusalama chini ya utawala wa baba yake Sultan Qaboos na Qaboos mwenyewe aliyefariki mapema mwaka huu 2020.

Sasa ataweza kujiunga na dadae, kakaye na watoto wake 7 ambao wameweza kuruhusiwa kuingia Omani na kuweka makazi yao toka miaka ya 1980

========

Zanzibar’s former sultan arrives in Oman for retirement

Jamshid bin Abdullah, the former sultan of the East African island of Zanzibar, was expected to arrive in Muscat from the United Kingdom on Monday after his request to retire in Oman was granted by the government.

The 91-year-old former sultan, who was deposed from his throne in 1964 by a popular African revolt, had been living in exile in the southern city of Portsmouth in the UK for more than 50 years. He inherited the throne from his father Abdullah bin Khalifa on July 1963.

“We are expecting him to arrive in Muscat in the evening flight. His request to retire in Oman has been granted by the government due to his old age. He always wanted to spend his last days in the country of his ancestors and now he is happy he can do that,” a family member in Muscat, who did not want to be identified, said.

The government of Oman did not make public the former Zanzibar ruler's retirement in the country. "It is a private matter and we do not wish to announce it,” a government official said, speaking on condition of anonymity.

The former sultan has been denied permission to retire in Oman many times in the past for security reasons. Tens of thousands of his former subjects live in the country after being granted citizenship in the 1970s and 1980s.

Mr Abdullah is distantly related to the present sultan of Oman, Haitham bin Tarek, with whom he shares the same lineage of royalty.

People from Zanzibar consider Oman to be their ancestral home as island was ruled by Oman from 1698 to 1890, when their ancestors emigrated there. In 1890, the UK forced Zanzibar to become a British protectorate and the island separated from Oman to become an independent state ruled by a local sultan.

The former sultan joins his sister, brother and seven children, who have been living in Oman since the 1980s. He is not allowed to return to Zanzibar.

“We are delighted that Sultan Jamshid will be with us in the country in his last days. We are also grateful for the government of Oman to grant him his wish to retire here, which I think is based on humanitarian reasons,” said Yusuf Al-Shibly, 74, an Omani who was born in Zanzibar and now lives in Muscat.

In a radio broadcast a few days after he ascended to the throne in 1970, the late Sultan Qaboos bin Said of Oman called all “Zanzibaris with Omani ancestry to come back home to help build the nation”.

It was the start of an exodus of thousands leaving the East African island that lasted until the early 1990s.


Updated: September 14, 2020 06:33 PM
Source: Zanzibar’s former sultan arrives in Oman for retirement
 
Nyakati za Sultan Sayyid Barghash bin Said zilizoipa Zanzibar kukumbatia maendeleo ya kisasa hasa Maendeleo ya Vitu hadi Sultan wa mwisho wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah 1964



Sayyid Barghash bin Said alirejea tena nyumbani na kupatana na kaka yake, Sultan Majid, kabla ya kifo cha mtangulizi wake huyo, naye kushika rasmi madaraka ya Dola la Zanzibar. Leo Sheikh Riadh Al Busaidi anasimulia jinsi Sultan Barghash alivyoleta mageuzi kwenye utawala wake.
Source : MoG Online Media
 
Nyakati za Sultan Sayyid Barghash bin Said zilizoipa Zanzibar kukumbatia maendeleo ya kisasa hasa Maendeleo ya Vitu hadi Sultan wa mwisho wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah 1964



Sayyid Barghash bin Said alirejea tena nyumbani na kupatana na kaka yake, Sultan Majid, kabla ya kifo cha mtangulizi wake huyo, naye kushika rasmi madaraka ya Dola la Zanzibar. Leo Sheikh Riadh Al Busaidi anasimulia jinsi Sultan Barghash alivyoleta mageuzi kwenye utawala wake.
Source : MoG Online Media
Alama ya ukandamizwaji kwa ndugu zetu Wazanzibar iliyobaki kama ushuhuda wa madhila tuliyoyapitia
 
Back
Top Bottom