Nenda uonane na wataalamu wa kisaikolojia, maana unashida ya psychology.Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mm nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.
Kitendo cha mm kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa mke wa prof. Kapuya, kinanifanya nijione sina bahati na nina laana .
Kwa umri wangu prof Kapuya ni sawa na babu yangu, sasa kwann nioe mama wa mkewe?
Kila nikimuangalia mke wangu, siipati tena furaha moyoni na akilini mwangu. Taswira inayojengeka ni uhenga uliokithiri wa huyu mwanamke dhidi ya yule wa prof.
Hali hii ikizidi nifanyeje wadau?
Kiubinadamu ngumu kumwambia. Lkn kiukweli simpendi kabisa mke wangu
Kweli hiyo ni laana .kuoa mke mzee au mnao lingana umri ni mkosi mkubwaKiubinadamu ngumu kumwambia. Lkn kiukweli simpendi kabisa mke wangu
Kiubinadamu ngumu kumwambia. Lkn kiukweli simpendi kabisa mke wangu
😂😂
Mkuu siku zote binadamu tuna tabia ya kuiga mazuri toka kwa wenzetu. Alichokifanya prof kinanisuta sana moyoni mwangu. Ninajawa na hatiaMwendawazimu wee...
Ishi maisha yako, usitamani kuishi maisha ya mwenzako, wewe huwezi kuwa yeye na hata yeye hawezi kuwa wewe, hujui changamoto atakazopitia huyo kapuya, usikute house boi atakiwa anajipigia mkewe, usikute wamekubaliana amnunulie madildo, humjui mkewe kiuhalisia ndani, na hata kama hayo hayatatokea wakaishi kwa amani na furaha ndio maisha yao usifosi mkuu, utakufa bure
Sent using my nokia ya tochi
Mkuu siku zote binadamu tuna tabia ya kuiga mazuri toka kwa wenzetu. Alichokifanya prof kinanisuta sana moyoni mwangu. Ninajawa na hatia
Kibeni ten tulia wewe.Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mm nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.