Tangu niione clip ya harusi ya prof. Kapuya na kimwana wake namchukia sana mke wangu

Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mimi nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.

Kitendo cha mimi kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa mke wa prof. Kapuya, kinanifanya nijione sina bahati na nina laana .

Kwa umri wangu prof Kapuya ni sawa na babu yangu, sasa kwanini nioe mama wa mkewe?

Kila nikimuangalia mke wangu, siipati tena furaha moyoni na akilini mwangu. Taswira inayojengeka ni uhenga uliokithiri wa huyu mwanamke dhidi ya yule wa prof.

Hali hii ikizidi nifanyeje wadau?
Sexless: Nifanyeje nihongwe magari na majumba? - JamiiForums
Hakya nani....

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mimi nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.

Kitendo cha mimi kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa mke wa prof. Kapuya, kinanifanya nijione sina bahati na nina laana .

Kwa umri wangu prof Kapuya ni sawa na babu yangu, sasa kwanini nioe mama wa mkewe?

Kila nikimuangalia mke wangu, siipati tena furaha moyoni na akilini mwangu. Taswira inayojengeka ni uhenga uliokithiri wa huyu mwanamke dhidi ya yule wa prof.

Hali hii ikizidi nifanyeje wadau?
Muombe mbadilishane...
 
Wewe unafikiri huyo mke wa kapuya ameolewa kwa sababu anampenda huyo babu? Yupo kimaslahi zaidi. Mshukuru Mungu huyo mke wako anakupenda kama mume/mpenzi.
Usidanganyike kwa kuangalia maisha ya wengine.
 
Mwendawazimu wee...

Ishi maisha yako, usitamani kuishi maisha ya mwenzako, wewe huwezi kuwa yeye na hata yeye hawezi kuwa wewe, hujui changamoto atakazopitia huyo kapuya, usikute house boi atakiwa anajipigia mkewe, usikute wamekubaliana amnunulie madildo, humjui mkewe kiuhalisia ndani, na hata kama hayo hayatatokea wakaishi kwa amani na furaha ndio maisha yao usifosi mkuu, utakufa bure

Sent using my nokia ya tochi
Safi sana bonge la point
 
Teh, wewe unamuonea wivu prof kapuya. Kitu ambacho haujakibaini ni kwamba, huyo mke wa kapuya amesha jiandaa kuwa mjane ktk umri mdogo.
 
Back
Top Bottom