Tangu niione clip ya harusi ya prof. Kapuya na kimwana wake namchukia sana mke wangu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,518
50,254
Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mimi nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.

Kitendo cha mimi kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa mke wa prof. Kapuya, kinanifanya nijione sina bahati na nina laana .

Kwa umri wangu prof Kapuya ni sawa na babu yangu, sasa kwanini nioe mama wa mkewe?

Kila nikimuangalia mke wangu, siipati tena furaha moyoni na akilini mwangu. Taswira inayojengeka ni uhenga uliokithiri wa huyu mwanamke dhidi ya yule wa prof.

Hali hii ikizidi nifanyeje wadau?
 
Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mm nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.

Kitendo cha mm kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa mke wa prof. Kapuya, kinanifanya nijione sina bahati na nina laana .

Kwa umri wangu prof Kapuya ni sawa na babu yangu, sasa kwann nioe mama wa mkewe?

Kila nikimuangalia mke wangu, siipati tena furaha moyoni na akilini mwangu. Taswira inayojengeka ni uhenga uliokithiri wa huyu mwanamke dhidi ya yule wa prof.

Hali hii ikizidi nifanyeje wadau?
Nenda uonane na wataalamu wa kisaikolojia, maana unashida ya psychology.
 
Samahani mkuu....
Ndio natoka kanisani
IMG-20190223-WA0003.jpg
 
Madhara ya kuoa kwa bahati mbaya.
Mwanaume lazima utafute mwamke yule roho inapenda.
Pole sana sidhan kama ndoa yko inaamani tena. Vumilia tu hakuna namna nyingine

Mwendawazimu wee...

Ishi maisha yako, usitamani kuishi maisha ya mwenzako, wewe huwezi kuwa yeye na hata yeye hawezi kuwa wewe, hujui changamoto atakazopitia huyo kapuya, usikute house boi atakiwa anajipigia mkewe, usikute wamekubaliana amnunulie madildo, humjui mkewe kiuhalisia ndani, na hata kama hayo hayatatokea wakaishi kwa amani na furaha ndio maisha yao usifosi mkuu, utakufa bure

Sent using my nokia ya tochi
 
Mkuu siku zote binadamu tuna tabia ya kuiga mazuri toka kwa wenzetu. Alichokifanya prof kinanisuta sana moyoni mwangu. Ninajawa na hatia
 
Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mm nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.

Kitendo cha mm kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa mke wa prof. Kapuya, kinanifanya nijione sina bahati na nina laana .

Kwa umri wangu prof Kapuya ni sawa na babu yangu, sasa kwann nioe mama wa mkewe?

Kila nikimuangalia mke wangu, siipati tena furaha moyoni na akilini mwangu. Taswira inayojengeka ni uhenga uliokithiri wa huyu mwanamke dhidi ya yule wa prof.

Hali hii ikizidi nifanyeje wadau?
Kibeni ten tulia wewe.
 
Lawama zote nazituma kwa le profeseli kwa kufanya kufanya imposible kuwa possible, pia ustadhi alikubali kufungisha ndoa ile. Na kuwafanya wamama walio ndoani na waliozidi umli wa miaka 25 kuwa nanwakati mgumu sana. Hibe fikiria hesabu hii

25< = <75
25> = ???????

Ukijibu hiii utajua maana ya kuwa profesali, kufanya utafiti, kuelimisha jamaa, kufanya majaribio ya tafiti n.k

Wata kama hawa ndio wanaitwa "disraptors" Anavuruga utaratibu wa jamiij kabisa uliozoeleka.

Mimi nilizoea vibabu vya kuzungu kuja kukota walioshindikana na waliokubuhu wapenda kitinga kwenda ulaya kwa njia ya kuuza papuchi lakini sasa nina mtazamo mpya!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom