Tangu nianze kumpa HELA ananipa mahaba motomoto

Tangu nianze kumpa HELA ananipa mahaba motomoto

Aisee kuna wanawake wengine pesa sio kipaumbele kwao kwa kilichonitokea ndani ya wiki hii, wapo wenye upendo kwa wenza wao hata kama hawana kitu nawakubali sana wanawake wa hivi, jana kuna dada nmemuangaikia almost for 3 weeks nmempa kila anachokihtaj ila kachomoa betri

Aisee kazi kwelkwel
 
Sasa why uliandaa tafrija akati huna uhakika nae??[emoji23][emoji23][emoji23] Baharia wa kweli unamuita chakula anapika mwenyeweee... Ukimzoesha kununua itakula kwako
Mkuu mimi nna mbinu kali ila huyu kila nayo apply inagonga mwamba, hvyo vyote alivihtaji yeye kwahyo ilikua ni uhakika ila akazingua leo tena nmeapply mbinu nyingne kachomomoa ila atanasa tu
 
Halafu unakuja kukuta pundamilia anakuja lalamika ooh tangu nimefukuzwa kazi/nimekua sina pesa mpenzi wangu hanijali kabisa anasahau kabisa kamtengeneza na kumles gold digger yeye mwenyewe...
 
Aisee kuna wanawake wengine pesa sio kipaumbele kwao kwa kilichonitokea ndani ya wiki hii, wapo wenye upendo kwa wenza wao hata kama hawana kitu nawakubali sana wanawake wa hivi, jana kuna dada nmemuangaikia almost for 3 weeks nmempa kila anachokihtaj ila kachomoa betri
Umempa kila anachohitaji? Hapo unamaanisha nini mkuu? I.e. "unasema unanipendaa enh"? Ninunulie Iphone 7, mzee umenunua..."unanipenda? Nitoe out, au nipeleke shopping? Ndo design ya hivyo?
 
Hapo unapendwa au wanunua pendo?
 
Kuna wanaume mabwegereee 🤣🤣🤣
 
kumbe kuna watu wana hela[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndo maana sipendwi, mi ata buku sina
 
Umempa kila anachohitaji? Hapo unamaanisha nini mkuu? I.e. "unasema unanipendaa enh"? Ninunulie Iphone 7, mzee umenunua..."unanipenda? Nitoe out, au nipeleke shopping? Ndo design ya hivyo?
Namsikiliza na kumjali kwa kila anachokihitaji+kujiongeza lakini naona anafanya drama, nna furushi la alivyovihtaji nmpe ila chenga nyingi, leo nmeamka nmekuta ujumbe wake ana shida na hela nmemuuliza kiasi gani kajibu tuachane na hilo kwanza hadi baadae alafu kapotea hewani anadai mtu wake amemkera hataki kupatikana kwa muda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom