Tangu nianze kumpa HELA ananipa mahaba motomoto

Tangu nianze kumpa HELA ananipa mahaba motomoto

Dada zenu tena??

Wanaume Tuwape Hela hawa dada zetu hakuna kisichowezekana jaman, kwann nasema hivi kuna demu bhana huwa nakukutana nae nakula for free inshort pesa yangu alikuwa haigusi. Last week nilikua nae maeneo bhas nikawaza hyu dada kila nikimuhitaj hata iwe sa8 usik huwa anakuja ananipa utamu sasa wacha nimpe cash, nikafungua wallet nikampa 150k nkamwambia mama kafanye shoppin alishukuru sana. Sijamaliza bada ya siku2 tena aliniaga anaenda kibaha kwa msiba nikamtumia 50k imsaidie.

Masela,muhuni nikaanza tafutwa kwa speed ya 7G ma care yakazid na wivu juu, nkasema kimoyomoyo na mke mtarajiwa mama tuliaa hiyo speed so nzuri, akawa ananitafuta sana aje kwangu sema nilikuwa busy sana juz tukameet sex niliyopewa so ya nchi hii aisee[emoji119][emoji119] yale mapenz niliyopewa hatar ikabid nimwulize mama umejifunzia wap?? Leo tena nimepewa mapenz zaid ya juzi mpaka nimeanza sahau shida za duniaaa hii.

Wanaume tuwape pesa hawa dada zetu, tunalalamika wamekua magogo kitandani hawafiki kielelen kumbe hatutoi pesa, pesa ineleta raha na heshima maselaa,
 
Yaah mzee sio mbaua sema hapo ni sawa na simba kuanza kula nyama ya mtu[emoji23] Yani labdaa umuue ndo ataacha... Kiufupi labda kama huyo demu ni mchepuko wako lakini hiyo tabia uliaoinza kuhonga malaki ooho mtaachana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089] sababu itakuwa pesaa humpi tena.. Atabana mapaja mpaka umpe pesa ndo anakupa show makini anakuwa kama Malaya wa kununua yani.

Haitakiw zidisha hapo sasa bhs nafunga walleti
 
Aisee kuna wanawake wengine pesa sio kipaumbele kwao kwa kilichonitokea ndani ya wiki hii, wapo wenye upendo kwa wenza wao hata kama hawana kitu nawakubali sana wanawake wa hivi, jana kuna dada nmemuangaikia almost for 3 weeks nmempa kila anachokihtaj ila kachomoa betri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38] jana ilikua ni tafrija ya peke angu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] imeniuma sana na mapochopocho yangu, mizawadi kibao mtoto kanipiga chenga ya mwili ila atajaa tu bado anaonesha response nzuri
 
Sasa why uliandaa tafrija akati huna uhakika nae??[emoji23][emoji23][emoji23] Baharia wa kweli unamuita chakula anapika mwenyeweee... Ukimzoesha kununua itakula kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom