Tangu mzee Mengi Afariki dunia IPP Media wamepoteza Weledi

Tangu mzee Mengi Afariki dunia IPP Media wamepoteza Weledi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,550
Reaction score
20,343
GT
Tangu enzi hizo miaka.ya 2000 ITV ilikuwa ni super brand kweli kweli ukiunganisha na east Afrika TV sisi wakongwe tunaelewa sana.

Ukitaka habari za uhakika na uhondo and balanced ITV ilikuwa kimbilio la watanzania wote. Sasa hivi ITV wana attend hadi press za kupuuzi na udaku.

Enzi hizo Kitu kinaanza unamwona Godwin gondwe anashusha.habari nzito nzito na waandishi wa habari waliosambaa nchi nzima.

Ebana ee ilikuwa ni burudani wakati huo akina TBC wanachechemea. Tangu afariki mzee Mengi hiki chombo kimegeuka kuwa cha kupuuzi na uchawa mwingi sana.

Ama kweli mzee ni Nguzo ya Familia
 
Mtu anakufa na vyake, waga hamuelewagi hiyo falsafa. Hapo kutokea akili mpya itachukua vizazi.

Mtoto wa Mengi yule ni kama ana akili ndogo hivi kuliko baba yake.
 
Media za Tanzania hazina faida yoyote zaidi ya kutuburudisha na Muziki tu. Zote zipo kujipendekeza kwa serikali kama malaya
 
Zama za television, magazeti na ukiritimba wa habari kumilikiwa na chombo fulani unaenda kufa kabisa.
Vyanzo vya habari kwa watu wengi kwa sasa ni social media na mitandaoni.

Wale waodhani wanaweza kuhodhi habari na hawataki kubadilika watapotezwa sokoni kama hawa ITV, Star times na wengine watakaowafuatia
 
Back
Top Bottom