Tangu Mdude Nyagali aamue kuachana na siasa, kuna akaunti za JF zilizokuwa zinatukana matusi hazionekani tena

Tangu Mdude Nyagali aamue kuachana na siasa, kuna akaunti za JF zilizokuwa zinatukana matusi hazionekani tena

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,305
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
 
Aisee
Kwa hiyo mdude kumbe hakutekwa yupo zake uyole
 
Ukisikia uchawi ndio huu, sijui kwa nini siasa zinafanya utu wa mtu umtoke, mdude mpaka leo hajulikani aliko, ndugu wanamtafuta kila uchao, police wameshindwa kumpata, halafu kuna kichaa inaropoka huku!
 
Watu kama nyie kwa nchi zinazopenda haki ulitakiwa uwe umeshakamatwa kuisaidia police upelelezi,huwezi kusema mdude ameacha siasa wakati police haijui alipo wala ndugu zake hawajui alipo,ila wew pakeyako ndo unajua kaacha siasa.
Kwakweli alisaidie jeshi la Police
 
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
Wacha wee unafurahi mtanganyika mwenzako kuuawa kwa manufaa ya mzanzibar na wajomba zake waarabu wa oman! Kweli nchi ina laana hii bora baba yako angepuga punyeto tu bao lililo kuleta wewe liende na maji ya sabuni.shwain
 
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
Hakika wewe ni chi(ki)nembe Cha kwenye K**ma
 
Back
Top Bottom