Tukiendelea naye mambo yanaweza yasibadilike au yakawa mabaya zaidi kulingana na utekaji, uaji, ufiraji na ubadhilifu/ufisadi wa kiwango cha kutisha kwani hakemei kabisa, mliombee sana taifa kwa dini zenu, akija kiongozi mwingine baada yake sema 2030 anaweza kukosa pesa au kukopesheka ili afanye maendeleo, wananchi wanyonge mtabakia kulipia madeni aliyowaachieni.