Tangu asubuhi leo natumia internet bure kuperuzi jf!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Hii operamin ya vodacom bila shaka leo wametoa offer. sababu tangia asubuhi naingia jf na kutoka na sijakatwa hata shilling kumi kwenye simu. Vilevile ipo fasta sana. Nataka kujua ni kwangu tu au kwa watu wote?. Kama itaendelea hivi basi itakua mpango mpango. mia
 
Hapana angalia vizuri wamekukata kwa nyuma!!!!!!!!au kuna uwezekano mkubwa watakukata kwa Mbele
 
Hapana angalia vizuri wamekukata kwa nyuma!!!!!!!!au kuna uwezekano mkubwa watakukata kwa Mbele

sidhani kama umelidhishwa na uliyo yaandika. Hata kama huna ustarabu inabidi ujifunze kuheshimu wakubwa zako na wadogo zako pia. mia
 
nadhani ni free, hata mm nimetumia jf kwenye mambo yetu, nimeiingiza kwenye list ya site zangu za dezo
 
nadhani ni free, hata mm nimetumia jf kwenye mambo yetu, nimeiingiza kwenye list ya site zangu za dezo

hivi mkuu yale maujanja yamerudi tena? mimi walishaniharibia mbaya. tujuzane mkuu. mia
 
Mie nina kama wiki na nusu na surf internet ya voda 4 free kwa kutumia non built in browser. Nkitumia built in browser inagoma.
 
sidhani kama umelidhishwa na uliyo yaandika. Hata kama huna ustarabu inabidi ujifunze kuheshimu wakubwa zako na wadogo zako pia. mia

Sorry nilikuwa na maana kuwa kuna uwezekano hapo nyuma ulikuwa na salio sasa ukatumia hilo au kama si hivyo utakapoweka salio watakukata kufidia mda uliotumia Bure,nasema hivyo mimi mwenyewe yalishanipata lakini nilipoongeza tu salio nilitumia MB 200 tu badala ya MB 400 ikasoma Zero.Mwisho naomba samahani kwa kutumia lugha hiyo ila sikuwa na nia ya kumkwaza mtu
 
Back
Top Bottom