Tangazo

Tangazo

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Mimi george mayeye nawajulisha kuwa cheti cha form namba s.007/221 kimeungua.
Yeyote atayekiona atoe taarifa kituo chochote cha polisi.
 
Mimi Shilipo Mulugooo
 
hahahaahahahahhahahahah........Ammim huyo kakiunguza maksudi ili atumie cha philp

  • :target:
 
Mimi Lameck Madale nilisahau majibu ya mtihani na jina langu, ikanibidi nidese walau la mwanafunzi mwenzangu ambaye ni MWIGULU NCHEMBA.
 
Mimi george mayeye nawajulisha kuwa cheti cha form namba s.007/221 kimeungua.
Yeyote atayekiona atoe taarifa kituo chochote cha polisi.

Aiyaaaaa! Si ungenipigia simu jana, mantilie alinifungia chapati jana na leo asubuhi nimewashia moto
 
Back
Top Bottom