https://www.jamiiforums.com/members/preta.htmlPamoja na kumfanyia hivi kila siku usiku na asubuhi bado anakutoroka? Najitolea kukusindikiza aiseeha ha....lazima nimtulize...kila siku haishi kunitoroka.......asubiri nirudi kutoka Sumbawanga....atajibeba
https://www.jamiiforums.com/members/preta.htmlPamoja na kumfanyia hivi kila siku usiku na asubuhi bado anakutoroka? Najitolea kukusindikiza aisee<hr>
https://www.jamiiforums.com/members/preta.htmlPamoja na kumfanyia hivi kila siku usiku na asubuhi bado anakutoroka? Najitolea kukusindikiza aisee<hr>
Unakaribishwa, na ukitaka unaweza kubakia hukuhuku unakokaribishwa ili usihangaike kwenda kwa mganga...:smile-big:...nisindikize mwaya.....kiumbe hakishikiki hiki....bila limbwata itakuwa ngumu....asante kwa moyo wa agape
Unakaribishwa, na ukitaka unaweza kubakia hukuhuku unakokaribishwa ili usihangaike kwenda kwa mganga...:smile-big:
baolojia za tembo na pundamilia zipo poa huko?
Sumbawanga sehemu gani? Maana kizwite hayupo, chanji hola, kantalamba utawapakazia, Jangwani kwa wajanja tu,mazwi wako bize kuuza vijumba vya zamani,izia wanajipanga kupambana na wachina watengeneza barabara,majengo cjamwona,sumbawanga wenyeji na eden kimya. Akiwa mollo,malonje, tamasenga,ntendo...ni nje mno ya mji. Nimefika chipu kuna watengeneza radi2. Au ni wale wa pale magomeni?!!?
Preta nakupa tahadhari mapemaaaaa! hawa waganga wa siku hizi wanaweka dawa kwenye class mamalia yako kwa kutumia baolojia yake.......anaipaka dawa baolojia, then anakwambia leta class mamalia niingize hii dawa.:smile-big:
nisindikize basi mpenzi....naogopa mganga asije akaniambia mambo yake ya tabia mbaya
Hata Rais Mwizi alipita huko lakini yanamshinda.
Mchina wa Kifipa