Nawaomba Star TV mrekebishe tangazo lenu la kualika matangazo

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
807
809
Kuna sehemu kwenye tangazo lene mmeandika Chrismas badala ya Christmas.

Tafadhali rekebisheni.
 
Aliyeandika ni mswahili asiye na uzoefu wa kuongea na kuandika kiingereza
 
Back
Top Bottom