forest zone
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 253
- 228
Ata mimi nashangaa hili tangazo niagizo toka juu au vipi?Mmmh??
Huo Ni ufa..la!!
Mkuu ni Kweli unachosema? [emoji15] [emoji15] Hebu tafuta ka clip ka ushahidi kdg, manake mi ka Siamini hivi.Habali ndugu na jamaa? Usiku huu npo kakola kahama kuna tangazo lina tangazwa usiku huu likisema.
"tangazo tangazo kesho hakuna kufungua biasha yoyote watu ote msikilize report ya makinikia inayo kabiziwa kwa raisi"mwsho wakunukuu,tupeane taarifa vipi huko uliko wewe napo pana pigwa promo kama hii?
Nikweli mkuu aminiMkuu ni Kweli unachosema? [emoji15] [emoji15] Hebu tafuta ka clip ka ushahidi kdg, manake mi ka Siamini hivi.