''ah kabla ya kupanda kwenye stage.....!''
ONGEA DEILEE
Then COCA COLA ONJA MSISIMKO
daaa apa diamond kauaa..
''na ili joto dar tupate ya baridi coca...''
Tangazo bora kuliko yote ni la Haki Elimu, linanza kumuonesha mwalimu akifunga mlango wa nyumba mbavu za mbwa,kisha anakatiza kimtaro na kufika shuleni huku majengo yanauliza nikudondokee au nikusamehe.
Nilikuwa nalipenda tangazo moja la vodacom lilikuwa linahusisha jamaa wawili,mmoja anaanza kwa kumuuliza "ebu niambie vodacom ni nini?"jamaa wa pili anajibu ni mtandao wa simu za mkononi...
mi sio tangazo bt ni kale kakipande ka east afrika tv ka bajaji inatembea then inageuka inakua mtu then wanamalizia na logo yao, jaman kananichefu, nimekachoka, afu kanakua na sauti kubwa kuliko kawaida. wabadilishe.