Tangazo tangazo!!

Tangazo tangazo!!

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Jamani wanaume wa tabora tujitokeze kwa wingi kufanyiwa tohara,ni bure hakuna gharama yoyote,kwa wanaume wenye umri zaidi ya miaka 18 unaweza kuja peke yako au na mkeo kufanyiwa tohara,kwa wenye umri chini ya miaka 18,uje na mzazi wako au mlezi wako,tafadhari fika kituo cha afya bila kukosa,nawatakia tohara njema!!
 
Wasione noma, hili zoezi lina manufaa sana katika kujikinga na ukimwi.
 
Hadi nipone nani atamtibu wife. Wala siji ng'oooo!
 
Kweli nimekaa Nzega na nimeona vijana wengi tu wapo na magovi ni wakati muafaka kwa wao kuweka mambo yao sawa
 
waambie na wanyakyusa maana tuliosoma nao boarding tulikuwa tunaendesha kampeni ya kuwatahiri
 
Sitaki kutahiriwa, mke wangu ataniacha. Analipenda sana hili li mkono wa sweta, anasema linamkuna hadi anapoteza fahamu
 
Back
Top Bottom