TANGAZO TANGAZO!

TANGAZO TANGAZO!

Joined
Nov 15, 2016
Posts
24
Reaction score
8
Jaman vyuma vimekaza nauza shamba langu mkuranga ekari 13(kumi na tatu) kwa bei ya shilingi 65mil. Ila maongezi yapo kidogo ila kwa yule anayeweza kunipa mkopo wa 45mil nimlipe kidogo kidogo kwa mwaka-mwaka na nusu huku yeye akilima pale mpka nikimaliza na yeye pia ananikabidhi shamba langu tafadhali uwe serious njoo inbobo √ shamba lina maji myo umepita chini mpkani pia kuna mihogo eka kadhaa mananasi vichuguu unaweza kulima vitunguu au viazi ila unaweza kupanda viazi vitamu ekari 1 tu unaweza vuna magunia 100 naam karibuni sana/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom