SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Wana JF, kuna mtu ninayefahamiana naye, anaishi maeneo ya Mbezi beach anauza gari aina ya Toyota premio (New Model:2010), bei ambayo ni sawa na bure ukilinganisha na thamani ya gari lenyewe (Mil.4 za Kitanzania).
Amefikia uamuzi huo wa kuliuza gari lake hilo jipya ambalo lipo katika hali nzuri kabisa (mimi nimeliona) baada ya kushindwa kulipa deni analodaiwa na benki flani hapa nchini, ambapo hadi kufikia kesho anapaswa awe amelipa deni hilo, ambalo kaweka rehani nyumba yake.
Ni kiasi kidogo tu cha fedha anachohitaji kilichobaki ili aweze kamilisha deni hilo, la sivyo nyumba yake itapigwa mnada, ndio maana amefikia uamuzi wa kuliuza gari lake.