figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,636
Wameshauza zamaani, labda uwatafute walionunua....Eeehh!!..Kama unawafahamu wale washikaji walio gawana nguo za Yesu, waambie warudishe coz ishakua soo na kitaani kimenuka. Waambie warudishe haraka sababu mwenyewe kafufuka leo.Anaye pata tangazo hili amjulishe na mwenzake. mia
Wameshauza zamaani, labda uwatafute walionunua....
Mara ya mwisho walipita wakiwa kwenye toyo wako bati....Niliwasikia wanasema wakutane LEO TUPO HAPA PUBEeehh!!..Kama unawafahamu wale washikaji walio gawana nguo za Yesu, waambie warudishe coz ishakua soo na kitaani kimenuka. Waambie warudishe haraka sababu mwenyewe kafufuka leo.Anaye pata tangazo hili amjulishe na mwenzake. mia
mkuu wewe uliwaona?. miaWameshauza zamaani, labda uwatafute walionunua....
Niliwakuta Dar livee! Wanapongezana