ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
kwanza kabisa niwashukuru wale wooote waliopendekeza nibadilishe MY AVATAR cacico, charminglady, FirstLady1 na wengineo waliochangia kwa maandishi Bishanga, Judgement, Erickb52, platozoom, Pombekali, Kaizer ummu kulthumu na jopo lake wameamua kutafuta mtu au watu watakaofanikisha kupata Avatar yenye mvuto!
masharti ya jumla kwa msaka avatar!
1. iwe na sura ya upole na ukarimu wa kike
2. macho yenye mvuto wa mahaba
3. ushungi wa mbali huku ikiacha nywele kuonekana kwa chati
4. dimpozi sio lazima sana
5. mdomo wenye mvuto wa kumshawishi rijali kunywa juice mara kwa mara
6. sura ya oval rangi ya chugwa
7. iwe na maadili ya kizazi kipya
imedhamiwa na Young_Master, platozoom, huyu nimemsahau jina.
vigezo na masharti kuzingatiwa
zawadi nono itatolewa ikiwemo mbija,makofi,vigelegele,nderemo na vifijo.
haya sasa wadau kazi mikononi mwenu tiririkeni now!!!