Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 846
- 884
Napatikana pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni maelewano.
Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine.
Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google uandike "FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA " Kuna makala nzuri iliyoandikwa katika gazeti la mwananchi ikibainisha faida za mkojo wa sungura.
Kwa anayehitaji kununua mkojo wa sungura wasiliana nami Moja kwa moja kupitia namba zifuatazo.
0717 445 411.
Thank you very much.