TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor


Yaani Lady doctor umenena vyema kabisaaaa.... huyu jamaa tunauwezo wa kumuadabisha... asituchezee kabisa... hakuna kujisuicude my dear ladyfurahia... relax and be happy
 
Last edited by a moderator:
@dismynder1 tunakupenda sana..... remember that,
 
Pole sana my dia hata me nipo kwenye wakati mgumu kama huo ni juzi tu tangu niachane na zubedayo_mchuzi. I do understand your pain
hujaachana na mimi sema umeniacha...acha kunisingia uliamua mwenyewe mimi sikuamua....nikisikia tena kauli hii ntakufungulia mashtaka....
 
Last edited by a moderator:
thubutu umfungulie mashtaka gani wewe au unataka tukupeleke kwa mstahiki meya wa jiji hili la cc?
hujaachana na mimi sema umeniacha...acha kunisingia uliamua mwenyewe mimi sikuamua....nikisikia tena kauli hii ntakufungulia mashtaka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…