ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hizi bahati hizi,Lady furahia naomba unifikirie niwe mfariji wako,nipo tayari kumtunza mtoto na kumpa mapenzi kama mtoto wangu!!pleas nipm!
Ulimsindikiza Amref?? Au ndicho kinachokukimbiza?
mwenzio ana machungu sana ujue
Pole sana my dia hata me nipo kwenye wakati mgumu kama huo ni juzi tu tangu niachane na zubedayo_mchuzi. I do understand your pain

Hellow my dia, daima nitakuwepo kwa ajili yako