Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012

Anaropoka sana na kutaka sifa cjui anafikiria kupewa uwaziri!Asubuhi anamsifia Mr dhaifu kwa kumteua Mwandosya wizara isiyokuwa na shughul maalum.
 
Hili jeshi mbona kali sana jamani! Msimfanyie hivyo maana itakuwa ni sawa na kuuwa mende kwa

alexander kalashnikov 47 full loaded with 4 extra magazine
 
Kama hii habari ni ya ukweli then this is too much mazee. Kwa nini kuua inzi kwa nuclear? Haya Mwigulu unalo hilo. Natumaini majivuno na majigambo yako yasiyokuwa na tija yamefikia tamati rasmi.
 
kama kikosi hiki kitatua kwa Mwigulu lazima atahama jimbo hii ni hukumu kwa Mwigulu na wakitoka hapo wasisahau kwa Lusinde
Najitolea kwenda kuwakomboa wananchi wa jimbo la yule mzinzi mwingine aliyekamatwa hivi karibuni manake CCM imeshindwa kuleta maendeleo na wake wa wananchi wanachapa!Nafkiri ukienda kwenye majimbo yao hawa jamaa miongoni mwa ukombozi utakaopaswa kuwapelekea wananchi ni kunusuru wake zao
 
Kama hii habari ni ya ukweli then this is too much mazee. Kwa nini kuua inzi kwa nuclear? Haya Mwigulu unalo hilo. Natumaini majivuno na majigambo yako yasiyokuwa na tija yamefikia tamati rasmi.

teh...teh....,teh...
 
Watu wanapenda kujipa moyo kwa kweli. Ni rahisi kuyahadaa macho,, lakini huwezi kuudanganya moyo wak omwenyewe......Think!!
 
Nchemba akisikia hizi habari atajinyonga, mbona mnataka kumfukuzisha kazi yake ya kugonga meza pale kwenye ukumbi wa taarabu za magamba. BoT amemwagwa baada ya kuchota pesa za EPA ili ziingizwe kwenye kampeni ya Dr.dhaifu.

Mbona Chadema mnataka kumlaza na njaa, ameshazowea kugonga meza na kusinzia kule kwenye ukimbi wa Taarabu. Sasa akifukuzwa Iramba na wananchi ataweza kuilisha familia yake?

Muoneeni huruma au mnataka awe kama Nape au Le mutuuuuuuzi
 
Huyu mzinzi katuchosha kawadanganya wananchi wa mgundu kwa kuwapa 200000 eti wafungue akaunti ya maji na wananchi hawahoji anatoa wapi pesa,kesha iba BOT siku nyingi hatutaki apite mgundu atachukua wake zetu.MUNGU IBARIKI CDM AMEN
 
Anaropoka sana na kutaka sifa cjui anafikiria kupewa uwaziri!Asubuhi anamsifia Mr dhaifu kwa kumteua Mwandosya wizara isiyokuwa na shughul maalum.

Timu hii ni nzuri sana na nina hakika ikifanyika kwa umakini huyu mtu atazimia haraka sana na naomba hapa kiwe kituo chetu cha kudumu cha kuanzia kila aina ya kampeni, tukitoka hapa tunaenda kwa mwenzake Cpt Mstaafu John Komba. Huyu nae anatakiwa kufanyiwa kazi kubwa halafu tumalizi e kwa Lusinde. Tuna takiwa kutangaza ushindi wa ubunge katika majimbo haya mapema kabla ya mwaka huu kwisha.
 
bacelona kucheza na manyema,ni ngekewa,nge.nge.ngekewa ,cheka kumpiga manu paquiano hioyo ni ngekewa.
 
Kati ya wapumbavu ninao wajua mimi Mwigulu ameshika nambari one, maana yeye ni bonge la juha!
 
Back
Top Bottom