life is Short JF-Expert Member Apr 1, 2013 4,741 3,031 Jun 3, 2013 #3 MadameX said: Ujasiriamali mwengine .....mmh Click to expand... Masa el-Kheyri dadngu, basi hata kwa herufi ndogo wangeandika igevutia!! all space wastage .
MadameX said: Ujasiriamali mwengine .....mmh Click to expand... Masa el-Kheyri dadngu, basi hata kwa herufi ndogo wangeandika igevutia!! all space wastage .
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,208 18,476 Jun 3, 2013 Thread starter #4 kinachonishangaza huyu mlinzi...
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Jun 3, 2013 #5 inamaana ukiunga kubwa na ndogo unalipa mia 500?
mdeki JF-Expert Member Mar 28, 2011 3,300 466 Jun 3, 2013 #6 Biashara hii imeshamiri sana tangu mwakyembe apige marufuku kuchimba dawa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Biashara hii imeshamiri sana tangu mwakyembe apige marufuku kuchimba dawa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Feb 7, 2012 4,641 3,675 Jun 3, 2013 #7 mfano mimi nataka kupiga nusu iwe kubwa au ndogo watakubali nusu bei?
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Feb 7, 2012 4,641 3,675 Jun 3, 2013 #8 Amavubi said: inamaana ukiunga kubwa na ndogo unalipa mia 500? Click to expand... unalipa 300 ya kubwa,ndogo utapiga hukohuko free of charge
Amavubi said: inamaana ukiunga kubwa na ndogo unalipa mia 500? Click to expand... unalipa 300 ya kubwa,ndogo utapiga hukohuko free of charge
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Jun 3, 2013 #9 Mc Tilly Chizenga said: mfano mimi nataka kupiga nusu iwe kubwa au ndogo watakubali nusu bei? Click to expand... Ahahhhahahaha uliza masai
Mc Tilly Chizenga said: mfano mimi nataka kupiga nusu iwe kubwa au ndogo watakubali nusu bei? Click to expand... Ahahhhahahaha uliza masai
A AmaniGK JF-Expert Member Jan 10, 2008 1,150 371 Jun 3, 2013 #10 Kuharisha buku.Wewe uliyeuliza watajuaje jibu ni kuwa wamefunga microphone chooni na spika iko kwa mLinzi,danganya ule mkuki
Kuharisha buku.Wewe uliyeuliza watajuaje jibu ni kuwa wamefunga microphone chooni na spika iko kwa mLinzi,danganya ule mkuki
HorsePower JF-Expert Member Aug 22, 2008 3,612 2,566 Jun 4, 2013 #11 Amavubi said: inamaana ukiunga kubwa na ndogo unalipa mia 500? Click to expand... Kubwa ni lazima iaambatane na ndogo, hivyo ukilipia kubwa, ndogo inakuwa ni kama bonus, bureee! :suspicious:
Amavubi said: inamaana ukiunga kubwa na ndogo unalipa mia 500? Click to expand... Kubwa ni lazima iaambatane na ndogo, hivyo ukilipia kubwa, ndogo inakuwa ni kama bonus, bureee! :suspicious: