tangazo linalolindwa na mlinzi hili hapa....

tangazo linalolindwa na mlinzi hili hapa....

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
biashara matangazo eti...


9.jpg
 
kinachonishangaza huyu mlinzi...
 
inamaana ukiunga kubwa na ndogo unalipa mia 500?
 
Biashara hii imeshamiri sana tangu mwakyembe apige marufuku kuchimba dawa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuharisha buku.Wewe uliyeuliza watajuaje jibu ni kuwa wamefunga microphone chooni na spika iko kwa mLinzi,danganya ule mkuki
 
Back
Top Bottom